Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Karibuni wadau VP udom tayari au
TumaNdio tayari mkuu
Aisee huu uzi wako .anyway ngoja tusubiriKaribuni wadau VP udom tayari au
Nilishatuma mkuu second round applicationTuma
Tuma tena mkuuNilishatuma mkuu second round application
Nilishatuma mkuuTuma tena mkuu
Tunaomba utume Mkuu wengine hatujayaonaNilishatuma mkuu
yako Wap Wewe EbwaNilishatuma mkuu
Tuma tenayako Wap Wewe Ebwa
aicee Kaka Hadi Mda Huu Nngekuwa Nshafonza Mtu Kamasi Lita 4 Masiala Kwenye Utani Uwa Cipendag
jamaa title ya thread yake utazan teyar anayo ndo kapost.aicee Kaka Hadi Mda Huu Nngekuwa Nshafonza Mtu Kamasi Lita 4 Masiala Kwenye Utani Uwa Cipendag
apo ndipo utasema bola ningemalizaga enz za kikwete!wakuu, kwa wale walioomba chuo kimoja (udom) tayar au ? mana nkiingia kweny profile sioni updated yoyot
acha kabisa bro. yn hapa muda wote nachek ili kuona updated yoyote lkn sion jipyaapo ndipo utasema bola ningemalizaga enz za kikwete!