UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

hivi tunapozungumzia ubora wa chuo ni vigezo gani huwa vinazingatiwa,?
 
Chuo cha kata.... siku ile yule mkuu alsema 'chuo kilikua kimedahili vilaza' sasa kinakuaje chuo bora?
 
Naomba usinichoke
UDSM ndiyo namba wani bwana
Kwani prof. Pumba alisomea hapo Udsm? Kama ndio kasoma hapo basi
aibu yenu kwa mujibu wa Nyerere
 
Kama ubara wa chuo unapimwa kwa ukaribu na mujini DIT wangeongoza
 
Tatizo moja chuo kinaendeshwa kisiasa sana kuliko kitaaluma ndo mana hata juzi ktk pita pita yangu naona job vacancies ktk gazet moja hv waikua wameandika all an applicant from any accredited inst except bachelor degree from udom xx ebu tueleze mtoa mada ubora wake ni UPI?
 
..Mkuu huna Fact,unachosema ni Propaganda Bila shaka sipo hata entitled kukujibu
 
UDSM ndo bora kuliko vyote Tanzania kwa kigezo cha umbali. Unakaa Msewe au Changanyikeni na kwenda chuo kwa mguu.
[emoji23] [emoji23]
..Maisha ni magumu kwa watu vipofu kama wewe nmeongelea point kadhaa hapo mkuu sijashangaa umeona moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…