UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Kama unahisi kitu haukijui ni vyema ukaweka wazi ili watu wakusaidie...
Lakini kama unaona kuweka wazi haiwezekani basi ni vyema ukajaribu kuficha UJINGA wako..!
Haya Mr.All Knowing Enlighten Me
 
Udom ni chuo chenye eneo kubwa Tanzania. Na chuo bora Tanzania ni UDSM tu
 
Mbona humalizii na quality ya output viz avis vyuo vingine???????
 
HB wa Ilala leo umeshuka na post tofauti kabisa na nikujuavyo! ahahahahahaha maana nilitegemea nione post za kuhusu maumbile ya siri ya wanawake tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…