UDOM na UDSM: Kipi ni chuo bora

udsm ni taaluma majengo nenda udom chuo cha kata!
tcu mngenipeleka udom nisingesoma!
 
Nina wasi wasi na elimu ya mleta mada, laiti kama ungefanya utafiti usingeleta mada hii. Ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema sisimizi ni mkubwa kuliko tembo
Mkuu Pengine naweza kuwa siko sahihi lakini ni Vizuri zaidi ya kuja na hoja na sio kejeli.. Pia Vizuri ukaja na maelezo yako
 
Umepata shilingi ngapi mpaka sasa ww
 
Mtoa maada nahisi ulikuwa unalengo tu la kuiponda UDOM..lakini what i tell u is that we need to be proud of what we have at this moment even if it is not perfect as we want but we have to appreciate...UDOM help most of Tanzanian until now..even if the education provided is not much competent as people talk everyday but that education raised people from one stage to another.....everywhere you go there are challenges and people are struggling to fight against those challenges..so we need to work together so that to help the next generation....
 
Kila mwaka UDSM wanatoa maengeener lakini hao wahandisi wanahishia wapi? Tenda nyingi zinazokuja za kiuhandisi wanapewa wazungu au ndo kusema wanafundishwa ili kuja kusaidia kazi na sio wasimamizi wakuu? ....All in all mfumo wa elimu unaotolewa Tanzania ni mbovu..mtu unakaa miaka 16 unasoma tu...
 
Ahsanteh kwa Mchango wako MKUU... UDOM baadhi ya vitu warekebishe...
 
Sisi ambao tumebahatika kufanya kazi ndani na nje ya nchi na hawa wazungu labda tuwape mrejesho kidogo.Ni kwamba huwa wanavisifia vyuo vikuu vya TZ na hasa UDSM.Wanauliza where did you study?Unataja UDSM.... ah okay okay...can we get another guy from Tanzania?Wanadai tunaperform kuliko Wakenya,Waghana,Nigeria,nk.Hawa wenzetu wana uwezo wa kuitana (connections) tofauti na sisi wabongo
 
Nyie wote mnaobishana hapa vilaza,chuo changu ndo bora duniania "HARVARD"
 
Mkuu hapa bongo shida ni kwamba tunadharauliana...ndo maana hatuendelei tunaishia kuomba misaada tu kila kukicha lakini kama tungeamua kusimama wenyewe naamini kungekuwa na kitu cha kiutofauti kwa namna moja ama nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…