UDOM: MGOMO wa wanafunzi warindima

Mkuu chuo kimejengwa na Mchina,unategemea nini sasa! Majengo ya ofisi za wakufunzi hayana maji kule vyooni. Mabwenini maji ya shida vyooni! Kiujumla mkwere aliingizwa choo cha kike kwa kuzindua jengo la utawala tu ambalo lina ofisi executive za wakulu utafikiri ofisi za mabilionea!
 
Hao si ndo walijifanya wanatoa tamko la kulaani wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya Bunge? Walidai kua CHADEMA wametumia njia haramu kudai Haki zao? Kwa hiyo wao hiyo njia ndo halali ya kudai haki zao? tena wakajiita wasomi wa Dodoma watoa Tamko. Na walitaka CHADEMA watumie njia kama wanazozitumia wao? Hao ni Wajinga Kabisa tafadhari FFU vunjeni kabisa mbavu na hayo mabichwa myazibue kwa virungu kabisa
 
Ni haki yao kuwa na field.
Nyie mnaowaponda hawa madogo mna ajenda gani? Toeni mawazo ya kujenga na sio habari za kuwablame.
Kumbukeni wanafunzi hao hao mnaowashutumu inawezekana ndio watakaosafisha njia ya mafanikio kwa vizazi vyenu vijavyo.
Inanipain sana.

Hawa kwa upeo wao ulivyo na tunavyo uona wataua vizazi vyetu vijavyo hawafai kabisa
 
Ni haki yao kuwa na field.
Nyie mnaowaponda hawa madogo mna ajenda gani? Toeni mawazo ya kujenga na sio habari za kuwablame.
Kumbukeni wanafunzi hao hao mnaowashutumu inawezekana ndio watakaosafisha njia ya mafanikio kwa vizazi vyenu vijavyo.
Inanipain sana.

uwezo wa hawa watoto wa kufikiri ni mdogo sana .walidanganywa na ridhiwani wakaichangia ccm sasa wacha waonje joto ya jiwe ili tukiwaambia ccm ni zimwi lisilokujua watambue.mdogo wangu yupo hapo lakini nawaambia hao ffu watembeze kichapo akiumia atanipigia cm nitakuja kumtibia.ili siku nyingine apate akili.
 
Serikali ya ccm sijui inatengeneza taifa la namna gani? kwanini inakuwa ni vigumu kutoa elimu inayoeleweka? usanii katika elimu ni bomu la kitaifa linalokuja kulipuka siku za usoni..UDOM mlipoambiwa ccm wanawatumieni hamkuelewa sasa je, wapo hapo mnapokula virungu na mabomu ya machozi? Siku nyingine tumieni vichwa kufikiri msiendekeze njaa..
 
Hivi hao si wale waliomchangia JK ili achukuel form !!!! Wangelijua hilo wangechangia uchimbaji visima vya maji hapo chuoni...... Nilishasema hao vijana wanamchangia JK/CCM for what for ?? just in this poor country !! Kweli hiki ni Chuo Cha KATA !!!
 
Hili ndo tatizo la siasa uchwara, wame2miwa kama bulldozer kuchonga barabara then barabara imepona hawaruhucw tena kupita ndo wakome
 
Hawa si ndio walikuwa wanakata viuno mbele ya Muungwana na mifulana yao ya njano na kijani, sasa kimewasibu kipi, wafumilie tu hiyo ndio CCM walioipigia kura kwa wingi sasa inakula wanagoma pambafu zao!
 
Hivi amestaafu? Kama ndivyo namkaribisha kwenye kipensheni uchwara cha watumishi wa Umma.....
Masikini Mzee mwenzangu, kutoka ukurugenzi mpaka kufukuzwa !
Halafu hakujiandaa, alitoa machozi......aibu TIDO, Aibu!
Pensheni ya mkataba wa miaka minne hata mimi naweza kumlipa!
 
Ni haki yao kuwa na field.
Nyie mnaowaponda hawa madogo mna ajenda gani? Toeni mawazo ya kujenga na sio habari za kuwablame.
Kumbukeni wanafunzi hao hao mnaowashutumu inawezekana ndio watakaosafisha njia ya mafanikio kwa vizazi vyenu vijavyo.
Inanipain sana.
tunajua ni haki yao na tunawaunga mkono kwa mgomo wao tatizo walikuwa wanashabikia mtu ambaye hawamjui! mbinafsi na yeye anapenda sana misifa si juzi wamempa u DR leo wanamgomea. wanaigomea serikali yao na chuo kilichosifiwa kwa mbwembwe kuwa ni safi!
 
Ni haki yao kuwa na field.
Nyie mnaowaponda hawa madogo mna ajenda gani? Toeni mawazo ya kujenga na sio habari za kuwablame.
Kumbukeni wanafunzi hao hao mnaowashutumu inawezekana ndio watakaosafisha njia ya mafanikio kwa vizazi vyenu vijavyo.
Inanipain sana.

tunawashutumu kwa sababu kwa mda mrefu wamekuwa wakivaa kofia ya usomi na kuisupport CCM hata katika mambo ya kijinga,mara nyingi misimamo yao haiendani na jamii ya wasomi,nadhani walikuwa wanatumiwa sasa uchaguzi umeisha wametoswa.wao kama wasomi wasingejitokeza hadharani kuwahadaa watz(mfano kumchangia kikwete,mara maandamano ya kukipongeza chama n.k.) walitakiwa kuwaelimisha wananchi mapungufu ya serikali ili wakati wa kupiga kura wananchi wafanye maamuzi sahihi.lazima waombe ushauri kutoka kwa chuo kaka UDSM na sio kuwa maadui"ukubwa dawa"
UDOM ni chuo maalum kwa waliokosa UDSM-ukweli unaoumiza.
HUSNINYO acha hawa vijana wapewe adhabu ili akili ziwe sawa ukizingatia hawajapita JKT au hata adhabu za kufyeka ktk st.goverment schools.
Go FFU GO ONDOA ULEGEVU.
 
Hawana lolote wazembe wa kufikiri hawa,walitoa wapi fedha za kumchangia kikwete?si wangechaka kuboresha miundo mbinu?
Naomba FFU wawape kichapo cha mbwa mwizi ili akili zikae sawa.

"Udom chuo cha kata
wanafunzi kutoka shule za kata
wanalia ukata
huku ccm waitaka
Nakata katakata wazalendo kuwapata toka hiki chuo tata
"
Mkuu umenikosha hapo kwenye red, jamaa wawaite viongozi wa CCM waje kuwasaidia, tehe tehe tehe FFU nendeni mkatembeze kichapo kikali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hawana nidhamu hawa...
 
mtajuuta kumpa kikwe phd badala ya kumpa dr.slaa
mmesoma lkn hamjaelimika na kujua watu gani wa kuwapa tuzo. mtamsoma tu kikwete na ningekuwa mm ndo kikwete na nina watu wajinga km udom ambao wananikubali leo na kunipa tuzo afu baadae wanapaka matope serikali yangu kwa migomo,ningeamuru polisi wawacharaze viboko na marungu na mabomu ya machozi.
 
Wanafunzi wa Kile chuo kikuu kinachojulikana kwa wengi kama chuo cha CCM, UDOM wameanzisha mgomo tangu jana usiku na kuendelea asubuhi hii. Mgomo huo ambao hasa unafanyika katika chuo cha sayansi za jamii (social science) una madai makuu mawili moja likiwa ni madai ya kufanya mafunzo kwa vitendo na la pili ni kudai miundombinu bora. Taarifa zaidi zinadai kua wanafunzi wa social science wamekua wakibaguliwa linapokuja suala la mafunzo kwa vitendo. Kuna wanafunzi wa social science ambao sasa wako mwaka wa mwisho lakini hawajawahi kufanya mafunzo kwa vitendo na hivyo wanahoji kua ni chuo gani kikuu ambacho hakina mafunzo kwa vitendo.?? Mtoa taarifa anasema wanafunzi wameanza kuamshwa sa kumi alfajiri kwa viboko ili kuungana na wenzao na wanajipanga kuandamana kwenda ofisini kwa waziri mkuu....WAKATI HUOHUO MABOMU YAMEANZA KURINDIMA KUTOKA KWA FFU.,.kumbe na chuo cha CCM WANAGOMA..

WAPIGWE vIZURI NYAMBAF HAWA SI WALIJIFANYA WAO NDIO CCM CHIPUKIZI SASA CCM INAWAONYESHA MAMBO YALIVYO
 
UDOM walikubali/wanakubalika kutumika kama daraja la CCM, hivyo wasishangae yanayotokea, kwani huu ni mwanzo kwa jinsi ilivyo serikali ya JK watatamani wamnyang'anye ile tuzo ya kisiasa na kujipendekeza kwake waliyompa hivi majuzi. Wacha watiwe adabu ili siku nyingine wasikie ya wakubwa. Maana hadi leo bado hawajatambua kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa elimu ya juu.

Nawaomba wale "wanafunzi wasomi wa vyuo mbalimbali huko dom" watoe kauli yao kama ile ya kipind kile cha walk out.....
 
Hao si ndo walijifanya wanatoa tamko la kulaani wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya Bunge? Walidai kua CHADEMA wametumia njia haramu kudai Haki zao? Kwa hiyo wao hiyo njia ndo halali ya kudai haki zao? tena wakajiita wasomi wa Dodoma watoa Tamko. Na walitaka CHADEMA watumie njia kama wanazozitumia wao? Hao ni Wajinga Kabisa tafadhari FFU vunjeni kabisa mbavu na hayo mabichwa myazibue kwa virungu kabisa

.....amazing amazing! Yes hawa ndio wasomi wetu walioimba nyimbo zote za mapambio kumtukuza JK and yes wakalaani vikali kwa tamko kitendo cha CDM kumsusia JK!

Nakumbuka tena wakati wenzao wa vyuo vya SUA mwanzoni mwa mwaka huu wakigoma kuhusu matatizo yanayowakumba....hao wasomi wetu badala ya kuwaunga mkono wenzao....wao wakawakebehi na kumchangia JK fedha za kuchukua fedha.....riduculous! wapewe virungu hao waleta fujo......!
 
Back
Top Bottom