Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Wakuu nawasilisha, husika na title hapo juu;
i)Udom imefanikiwa kutoa graduates wa mambo ya ICT but still website ya chuo haileweki and sometimes unreachable
ii)Udom kozi ya udaktari imefungiwa admission kwa mwaka jana inawezekanaje chuo kikubwa na chenye sifa Afrika Mashariki ambacho tunategemea ndoto za wadogo zetu na madaktari wetu wa baadae zitimizwe kuwa hivi, kwani ufungwaji wake umeathiri sana malengo ya watanzania wengi.
iii)Udom wanafunzi wa Shahada ya sayansi ya uinjinia wa mafuta na gesi field work inasumbua jambo ambalo chuo ina jukumu la kuwatafutia ikishirikiana na shirika la taifa la mafuta(TPDC)
iv)Walimu wa Udom wengi ni temporary na wana elimu ya Uzamili(masters) na sio uzamivu(Phd holders) kwanini isiwaendeleze waalimu wake kwani serikali inapeleka pesa chuoni pia chuoni wanafunzi wanalipa ada..
AHSANTENI...