UDOM Kwawaka

Correction please!Hayo yote yametokea kitivo cha elimu na sio Chimwaga kama ambavyo imeripotiwa.
 
MIDANI?????????????? HWA SI WANASIASA WA CCM MaFISADI WATARAJIWA UMEWASAHAU WALISEMA HAWARIDHISHWI NA MWENENDO WA CHADEMA

Utaendelea kutafanwa na itikadi za vyama/kisiasa mpaka lini???kumbuka vyuoni ni mahali pa kuandaa wasomi na si wanasiasa thus why kila anayeonekana na usiasa chuon hupigwa chini mara moja!! Umesahau yaliyoukumba uongoz wa wanafunzi UDSM??ONDOA FIKRA ZA KUTAKA KUPANDIKA USIASA VYUONI!! Nadhan sasa mambo yako wazi,vijana sasa wameamka hawataki viongozi dhalimu hasa hawa vipandikizi wa sisiyemu!
 
UDOM,kumbe si mara ya kwanza kumteka mkuu wenu wa wilaya,aaaa udom,chuo kikubwa afrika mashariki na kati bt ni bomu linaloandaa wataalam vilaza
 
UDOM,kumbe si mara ya kwanza kumteka mkuu wenu wa wilaya,aaaa udom,chuo kikubwa afrika mashariki na kati bt ni bomu linaloandaa wataalam vilaza

Kama haya matukio yangetokea UDSM, serikali ingekuwa imekwisha kifunga long! Naona kama UDOM siyo tishio kubwa kwao
 
Pinda hawezi kufanya maamuzi ya mwisho lazima ampelekee MKWERE mapendekezo ya WANAZUONI hao
 
hapo kazi ipo tena ndio inaanza kabisa.
Je Pinda ameweza kupindua mawazo ya hao wahadhili?
je alifikisha kile kilichokuwa kinahitajika?
 
Ndugu achana na ukabila. Naomba umkosoe mtu binafsi na sio kabila.
Pia ningeomba MD kuchakachua jumbe zote za matusi,zinazoendekeza udini na ukabila.
Nia na lengo la JF kuleta na kuchanganua hoja kwa masilahi ya Jamii na sio kuleta mpasuko na chuki za kikabila.
Pinda hawezi kufanya maamuzi ya mwisho lazima ampelekee MKWERE mapendekezo ya WANAZUONI hao
 
Du, yaani polisi walishindwa kupata taarifa za kiintelijensia kama mkuu wa wilaya atatekwa?
 
washukuru kulikuwa na "mtu" (yaani mkuu wa wilaya) kati yao, vinginevyo yangejirudia yale ya arusha manake sie wengine (tusio wateule) tunapaswa kutii sheria na polisi wako kazini kuhakikisha serikali iliyo madarakani inapata heshima yake au inapendwa na wanachi- chagonja huyo
 
Back
Top Bottom