Ivi izi ela zao huwa zawa budgeted toka mwanzo wa mwaka wa FEDHA sasa zinachelewa wapi
Nimeanza amini kuwa wakubwa wanazipiga kwa fixed account wakati vijana wanaumia!
Hii ni kujitakia laana ya wazi wazi
Kuna vipeperushi na Matangazo yapo UDOM kuwataka Wanafunzi wagome.
Mgogoro wao ni kwamba hawajapata mpaka sasa pesa ya kujikimu kitu kinacho leta adhaa kubwa.
Hata hivyo umetumwa ujumbe wa wanafunzi kumi Kuonana na Waziri Mkuu.
UDOM acheni upuuzi wenu, mara kesho mtakinukisha, mara OOOooo kuna wanafunzi wametumwa kwenda kuonana na waziri mkuu, then what ? ili iweje ?
Endapo hamjui kuendesha kunji njooni hapa UDSM tuwapatie tuition kidogo, tena bure. Ndugu zanguni kuweni na mshikamano na umoja, otherwise wata-wachambua kama karanga.
Hapo utasikia CHADEMA wanahusika!
Wajinga tunawapendelea naona tuwaite WALAFI/MAFISADIHapo kwenye bold; badilisha - sio wakubwa bali ni wajinga.
UDOM acheni upuuzi
wenu, mara kesho mtakinukisha, mara OOOooo kuna wanafunzi wametumwa
kwenda kuonana na waziri mkuu, then what ? ili iweje ?
Endapo hamjui kuendesha kunji njooni hapa UDSM tuwapatie tuition kidogo,
tena bure. Ndugu zanguni kuweni na mshikamano na umoja, otherwise
wata-wachambua kama karanga.
he nawewe kumbe unasoma naona kila saa na kila mahali unashiriki mijadala hapa jf huo mda wa kusoma unaupata saa ngapi?Haya nakuja hapo unipe tuition na mimi nikinukishe hapa St. John's University. tuonane revolution square saa nane kamili...