UDOM Jamani!!!!

Anthonio

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
202
Reaction score
21
Wana JF, hivi watu wa tutorial assistance UDOM walishaitwa kwa interview mwaka huu.
 
Vipi na ule usaili wa kada nyingi nyingi zile, usaili wa mahojiano mpaka lini kwa wenye tetesi?
 
Watu wa LAW wamepigiwa simu na kuanzia kesho wanaanza kureport kazini.
 
Heading na ulichoandaka ndani loo!.....
 
Watu wa LAW wamepigiwa simu na kuanzia kesho wanaanza kureport kazini.

Hongera zao, msaada plz walifanya interview mwezi gani, maananami nilifanya interview tar 6 mwezi huu lakini college ya education na tuliambiwa watakao fanikiwa wataitwa baada ya mwezi
 
Tarehe 21/11/2012, mkuu wewe subiri 2013
Hongera zao, msaada plz walifanya interview mwezi gani, maananami nilifanya interview tar 6 mwezi huu lakini college ya education na tuliambiwa watakao fanikiwa wataitwa baada ya mwezi
 
wana jf hamna wenye updatez???
za watu waliofanya oral interview xul of
economics and xul of bsn??
waliofanya TA tokea 27/11/2012
wameitwa tayari????dah unaweza subiria kumbe watu wanapiga mzigo
 
watu wamesharipoti kazini kwenye baadhi ya departiment hasa college of humanities and social sciences, kuna classmate wangu ameripoti last monday, labda uendelee kusubiri, ila ukiona kimya usijali kwani wana utaratibu wa kutoa majina ya waliofel kwenye interview,so keep waiting.
 
jamni wanajamiii forum
udom ndo hvyo tumeachwa njian mbona hamna update zozote?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…