king mjuni Member Oct 11, 2014 93 15 Dec 17, 2015 #1 Hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka Leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu
Hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka Leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu
C Crystal field theory JF-Expert Member Sep 16, 2014 884 309 Dec 17, 2015 #2 king mjuni said: hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu Click to expand... mh: Atembelee hiki chuoo maana hata mwanangu analalamika tatizo ni nini udom?!?
king mjuni said: hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu Click to expand... mh: Atembelee hiki chuoo maana hata mwanangu analalamika tatizo ni nini udom?!?
Freightliner JF-Expert Member Aug 22, 2013 720 522 Dec 17, 2015 #3 hiki chuo ni janga la taifa na utawala wake wote hawana la maana pesa ni zetu...wao wanazikalisha huko wiki 2 hadi 3 tangu mtu asaini hakuna kupewa... itabidi tufanye kama alivyo tusihi ndugu mpandalume
hiki chuo ni janga la taifa na utawala wake wote hawana la maana pesa ni zetu...wao wanazikalisha huko wiki 2 hadi 3 tangu mtu asaini hakuna kupewa... itabidi tufanye kama alivyo tusihi ndugu mpandalume