UDOM info 1 and 2 tukutane kwa WAJASI

UDOM info 1 and 2 tukutane kwa WAJASI

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,632
aisee msosi wa cafeteria sio kabisa mana maharage ya jioni hayakuwa mazuri yani wanapika ilimladi tu



bora twendeni kwa wajasi,safari itakuwa inaanzia block 4
 
U-Form four bado mwingi, hongera tumefahamu na wewe upo chuo kikuu udom.
 
Unawaza kula tuuu,I think ndio kilichokupeleka Dodoma?
 
Daaah, inakuwaje wasomi wa chuo kikuu mnazama ujasi kula huku mkijua fika kabisa mazingira kinapoandaliwa hicho chakula ni machafu kupindukia na hatarishi kwa afya zenu??
 
Daaah, inakuwaje wasomi wa chuo kikuu mnazama ujasi kula huku mkijua fika kabisa mazingira kinapoandaliwa hicho chakula ni machafu kupindukia na hatarishi kwa afya zenu??
Maisha yangu ya chuo yote toka nianze ninakula ujasi kwa mama mtumishi, sijawahi umwa tumbo wala kuhara..

Sio kwa mapenzi ya dhati tunaenda ujasi bali ni hali ya cafe chakula hakina radha hakivutii maharage yanakua yameoza sometimes chakula cha baridi kwa hali ya uchumi wa kiuanafunzi diwez kuspendi buku 2500 kula mlo mmoja hivyo ina bidi uende ujasi msosi buku unapiga dona lako la nguvu msuli unaendelea.

Tatizo la info cafe ipo moja mmliki mmoja mwenye hisa hapo ndo hali halisi iliyopo hapo watu wana harisha mno wasio enda ujasi labda ashindie mikate na maandazi
 
Back
Top Bottom