nawasikitikia sana kizazi hiki cha wanafunzi wanaosoma Udom, wanapata taabu kubwa sana,,, ila Mungu yupo pamoja na ninyi, ipo siku vilio vyenu vyote vitasikiwa na haki yenu mtaipata,,, jana nashangaa sana kusikia taarifa kwamba wanafunzi waliomaliza undergraduate hapo hapo udom wakiapply 4 masterz hapohapo udom wanagoma kuwachukua, kisa hawakufanya field wakiwa undergraduates,,, sasa kama hapo hapo wanakataliwa, ni wapi watakapokubaliwa?? Hata uko makazini itakuaje bandugu?? Kilio kikubwa