Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Nipo shinyanga,mkuuNenda Chuo kaonane na uongozi
Wakanipa kumbukumbu nambaWakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na password, nikafanya hivo wakakata pesa yao tsh10000 na wakanitumia sms ya kuonesha pesa imepokelewa wakanipa na namba fulani"
Hebu fafanua hapo kwanza, kuwapa namba ya simu na password!! Nahisi ushaingia mtaa wa pili
Mkuu, walikua wameweka hiyo procedure ila wakaitoaMbona naona procedure yao kulipa haina huo mlolongo wa kutoa namba ya simu na password? We lipa tena ukiwa makini wakati huu. Karibu mjini.