Udom hawapendi kuliona tangazo hili

Udom hawapendi kuliona tangazo hili

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,304
[h=5][/h][h=5] Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover different regions/branches all over the country as indicated below.
•Arusha
•Bagamoyo
•Bukoba
•Dar es Salaam
•Geita
•Ifakara
•Karagwe
•Kigoma
•Kilombero
•Makambako
•Mbeya
•Morogoro
•Njombe
•Shinyanga
•Singida
•Songea
•Tabora

Minimum Requirements
•Final year student from UDBS also other UDSM Students will be considered
•GPA of at least 3.5
•The applications should comprise CVs, Provisional results, a cover letter indicating the station/branch of preference among the mentioned above.

Due to limited space only shortlisted candidates will be contacted.

Deadline: 10th July, 2013 at 1500hrs

Submission: online (career@udbs.udsm.ac.tz) or B.324 (office hours)

SWALI: TANZANIA KUNA VYUO VIKUU VINGAPI?

[/h]
 
Fafanua mkuu una maana gani?

"To know the enemy is half the victory"
 
Kwani Udom hawawatafutii wanafunzi wao nafasi za internship?
 
Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover different regions/branches all over the country as indicated below.
•Arusha
•Bagamoyo
•Bukoba
•Dar es Salaam
•Geita
•Ifakara
•Karagwe
•Kigoma
•Kilombero
•Makambako
•Mbeya
•Morogoro
•Njombe
•Shinyanga
•Singida
•Songea
•Tabora

Minimum Requirements
•Final year student from UDBS also other UDSM Students will be considered
•GPA of at least 3.5
•The applications should comprise CVs, Provisional results, a cover letter indicating the station/branch of preference among the mentioned above.

Due to limited space only shortlisted candidates will be contacted.

Deadline: 10th July, 2013 at 1500hrs

Submission: online (career@udbs.udsm.ac.tz) or B.324 (office hours)

SWALI: TANZANIA KUNA VYUO VIKUU VINGAPI?

Sasa KILA HABARI iwekayo humu itabidi kila MTU atafakari na kujaribu kuitafsiri kivyake vyake?
Tunakwenda wapi sisi? Na BADO tutazidi kuendelea kuwa WAJINGA

Yaani hata sasa tunapost something we cannot even explain what's that for???
 
Mimi mwenyewe ni graduate wa udsm tena udbs lakin sijaona cha msingi saana kwa mdau aliyeweka hiyoo thread labda angeipost kwa namna ya kuuonyesha mfano umma ni kwa jinsi gani chuo kikuu dsm kinawasaidia wanafunzi wake katika kuingia katika soko la ajira za kuajiriwa na kujiajiri kwa kuwa na vituo kama entrepreneurship centre and career centre ambavyo vyote vimekuwa msaada mkubwa na mfano wa kuigwa na vyuo vingine nchini kwani vituo hivi vimetujenga na kuwa compitent kwenye soko la ajira kwani wengi tumejiajiri na hata kuajiriwa tukiwa semister ya mwisho ya masomo kwani tumefundishwa kuziona opportunities na kuzifuata.
Lakini mdau hata kama ni classmate wangu japo sikufaham kutokana na jina ulilotumia hiyo thread yako imekaa kama kejeli kwa vyuo vingine hasa udom kitu ambacho sidhani kama kinajenga bali kutengeneza tu chuki na ushindani usio na lazima sana kwenye ujenzi wa taifa.
Proudly udbs.
 
Kwani Udom hawawatafutii wanafunzi wao nafasi za internship?
Nafikiri aliyeleta post hii atarudi kufafanua akishakula mlo huu hapa:

1011245_10151682772028270_1538141164_n.jpg
 
Kwanza ilo tangazo limetolewa na udbs..angalia mode of application alaf mbona nilisikia wa mwaka jana wanalipwa laki mbilimbili.......!!!ahaa ahaa
 
Tanzania kuna University Moja tu UDSM

Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover different regions/branches all over the country as indicated below.
•Arusha
•Bagamoyo
•Bukoba
•Dar es Salaam
•Geita
•Ifakara
•Karagwe
•Kigoma
•Kilombero
•Makambako
•Mbeya
•Morogoro
•Njombe
•Shinyanga
•Singida
•Songea
•Tabora

Minimum Requirements
•Final year student from UDBS also other UDSM Students will be considered
•GPA of at least 3.5
•The applications should comprise CVs, Provisional results, a cover letter indicating the station/branch of preference among the mentioned above.

Due to limited space only shortlisted candidates will be contacted.

Deadline: 10th July, 2013 at 1500hrs

Submission: online (career@udbs.udsm.ac.tz) or B.324 (office hours)

SWALI: TANZANIA KUNA VYUO VIKUU VINGAPI?

Mkuu Likud kwa mtazamo wako nakuona bado unapenda ushabiki wa vyuo .jaribu kuwa MTU wa kujali na wengine wanakosoma
 
duh ......
hapo ni internship tu, kichwa kinauma. Je ingekuwa ajira ??
vp kuhusu yale matangazo ya ajira ambayo yanahitaji au kutoa kipaumbele kwa wahitimu kutoka ktk vyuo fulani.
tafakari alafu chukua hatua kama unaweza.
 
Kwani waliotoa tangazo hawakujua kuwaUdom ipo?wana vigezo vyao tuacheni mawazo njaa...sasa ulitaka waajiri bila vigezo?kama wameona udsm ni kigezo kwao wewe unataka nini?buni ajira na wewe halafu bebabeba bila vigezo kama unaona ni sawa.
Uhalisia Udom bado sana kwa Udsm msitafute ushindani kwa sasa yaaani bado mno!!
 
Moja ya sifa kubwa inayoonyesha ubora wa chuo ni idadi ya tafiti yaani research zilizofanywa na chuo kupitia wataalamu wake.Kwa mantiki hiyo Udsm itakuwa imefanya tafiti nyingi kuliko Udom kwakuwa ni chuo kongwe ukilinganisha na Udom iliyoanza hivi karibuni.
Unapozungumzia wahadhiri wa Udom wengi ni wahitimu toka Udsm,Mzumbe na vyuo vingine vya Tz wenye ufaulu mzuri.Foreigners ni wachache.
Hivyo kama Udsm ni chuo bora basi cream yake ndo ipo Udom inatoa wataalamu.
Uwepo wa Udom umesaidia sana kuongeza idadi ya wataalamu katika kada tofauti hivyo ni jambo jema kuwashukuru walioanzisha na waliotoa ufadhili wa chuo cha Dodoma kwakuwa faida yake ni kubwa kuliko ilivyokuwa kipindi ulivyokuwa ukitumika kama ukumbi wa mikutano ya CCM.
Mnaoponda uwepo wa Udom na vyuo vingine mkishabikia Udsm ama kwa hakika ni wachanga wa kufikiri kwakuwa maendeleo ya nchi hayaji kwa kuwa na chuo kimoja tu.Tumeona kila baada ya muda Udom ikitangaza nafasi za kazi na kukaribisha maombi toka wahitimu wa vyuo mbalimbali.Hivyo ndivyo ajira zinavyotengenezwa,angalia jinsi Udom ilivyochangia ukuaji wa mji wa Dodoma.
Ifike mahala tuwe Ma great Thinker,tuwe na mawazo chanya hasa linapokuja suala la utaifa.Jamiiforums ni mahala panapotumiwa kuelimisha jamii hivyo ni vyema tutoe mchango wetu wenye kujenga kuliko kuandika vitu kiushabiki.
 
Kwani waliotoa tangazo hawakujua kuwaUdom ipo?wana vigezo vyao tuacheni mawazo njaa...sasa ulitaka waajiri bila vigezo?kama wameona udsm ni kigezo kwao wewe unataka nini?buni ajira na wewe halafu bebabeba bila vigezo kama unaona ni sawa.
Uhalisia Udom bado sana kwa Udsm msitafute ushindani kwa sasa yaaani bado mno!!

Una akili ndogo sana na kama umesoma Udsm ni kukiabisha Chuo. Akili mgando ndio nyie.
 
Hatuna haja ya kulumbana kutukanana kwani tuna siraha kubwa. Tufanye kampeni ya kushawishiana sisi walosoma vyuo vingine kama ni wateja wa CRDB Tuhame twende benki zingine kwa kuwashawishi na marafiki zetu na ndugu zetu na tujiorganise tumwandikie Charles Kimey juu ya udhalimu wa benki yake lakini tufanye hata maandamano ya amani na kuueleza umma jinsi tunavyoanza kubaguana watanzania
 
Back
Top Bottom