Udom hawapendi kuliona tangazo hili

Udom hawapendi kuliona tangazo hili

Udom chuo cha kata! Kuna mwl. mmoja kamaliza Udom yupo songea v shule moja hivi alisoma BA kisw na political, anakataa kufundisha form III na IV, Anafundisha Civics I & II yupo Shallow sana,hata kuandika neno INDEPENDENCE hawezi, anaandika INDEPENDENSE
 
Mkuu KATUMBACHAKO inawezekana sio kosa lako. Ualimu unaanza ukiwa shule kabla hujafika chuo. Vyuoni zaidi ni kujifunza how to teach ila content zaidi unatoka nayo shule. . So u-shallow wa mwl haimaanish ametoka chuo gani kwan wapo waliotoka UD wako shallow pia. Unataka niamini kwamba magorofa yanayoporomoka kila kukicha nayo yamejengwa na wahandisi waliomaliza udom?? JIPANGE.
 
Back
Top Bottom