thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
Habarin ndugu zangu,, huu uzi nauanzisha kwa kuwaweka pamoja wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika program mbali mbali katika chuo kikuu cha dodoma,, kupeana taarifa za awali kuhusu chuo na hata program husika..hivyo basi ushirikiano unahitajika lakini pia kwa wale ambao wamechaguliwa program za bachelor of science in chemistry, biology, mathematics, physics, statistics na bachelor of science with education kwa pamoja ni college of natural science unaweza kunitafuta whatsapp kwa namba 0625641036 kwa infomation zaidi kuhusu hiyo college kwani nipo hapo naingia mwaka wa tatu kwa program ya bachelor of science in chemistry