UDOM bsc in multimedia tech and animation au SUA bsc in agronomy

UDOM bsc in multimedia tech and animation au SUA bsc in agronomy

Rich_majestic

Member
Joined
Sep 9, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Nimechagulia UDOM bsc in multimedia technology and animation. Pia SUA bsc in agronomy msaada koz hiipi ni zuri katika swala la ajira na kujia ajiri na vipi kuhusu mkopo
 
Multmedia unaweza jiajiri mwenyew
Ni moja ya degree program nzuri sana!

Mkopo ni bahati sana ila uhakika wa kupata upo endapo ukipata chuo mapema(siku hizi hawaangalii inasoma program ipi?)
 
Kama unataka kuwa mkulima kasome agronomy au ukitaka kuwa designer was sinema mbali mbali(animation) na mtaalam was computer basi ukasomee udom.
 
Nimechagulia UDOM bsc in multimedia technology and animation. Pia SUA bsc in agronomy msaada koz hiipi ni zuri katika swala la ajira na kujia ajiri na vipi kuhusu mkopo
Unapenda kulima?

Je unapenda kutengeneza apps, websites na animation?

Jiulize hayo maswali alafu utapata jibu lako!!
 
Nenda ukasome mambo ya udongo na kilimo Main campus sokoine acha uboya
 
Back
Top Bottom