UDOM bapa wamenichanganya kweli

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
670
Wasalaam wana jamvi. Bila shaka watu wengine mtakuwa mmeona hiki kitu kama nilivyoona mimi.
Nashindwa kuulewa hii kozi ya diploma in computer science itatolewa hapo chuo kwa mwaka huu au la! Kwani ukiangalia kwenye websites yao hawajaionyesha kama kozi wanayotoa nwaka huu pia kwenye youtube chanel yao hawajaionyesha ingawa kozi zingine ngazi ya diploma zipo. Hatahivyo kwenye invation document wameiweka kama moja ya kozi zitolewazo mwaka huu na pia kwenye prospectus mpya kozi hii ipo. Sasa mimi nashindwa kuelewa ipo au haipo.
 
Huenda bado hawaja update taarifa zao online ila kama kwenye prospectus ipo usijari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…