Udom application ya chuo nabadilishaje machaguo ya course?

chamng'asi

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
211
385
Nilifanya application nikasubmit, lakini nimeshawishika kufanya marekebisho ya course. Ni kama hawajaweka hiyo access au ni mimi tehama inanipiga chenga? Naomba msaada...
 
Nilifanya application nikasubmit, lakini nimeshawishika kufanya marekebisho ya course. Ni kama hawajaweka hiyo access au ni mimi tehama inanipiga chenga? Naomba msaada...
Wasiliana nao watakusaidia kwenye mfumo watakuweka kwenye incomplite then it ligi in kwenye profile yako baada kubadili hakikisha unafanya submitt vignevyo aplication yako itabaki incomplite
 
Back
Top Bottom