youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
Jamani mbona hata mimi inazingua najaza fresh kila kitu lakini inagoma ku log in nifanyaje na tumia p.
C
jaribu kutumia simu uone kama itashindikana mkuu
Jamani mbona hata mimi inazingua najaza fresh kila kitu lakini inagoma ku log in nifanyaje na tumia p.
C
acha kuzngua kufanikiwa kwako kuipata ndo ukaona wenzio wanatumia michina,,bas kiserver cha udom ndo mchina
daah mi npo science math mbona unagoma... au kuna mtu imekubali. help me plizzz
Jina lako lilitoka kwenye zile batch walizotoa??