Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Hivi jk yuko hi kweli? Au yuko Dubai anakula bata, je anayasikia haya shekhe? Je kkkt,R.C,wasabato, WALOKOLE wa madhehebu yote nao watoe ya kwao? Hivi hawa waislam wanapewa na nani ruhusa ya kutoa matangazo ya HOVYO kwa waTanzania? Au kisa raisi muislam mwenzao..huyu shekhe kafundishwa maadili ya kazi yake,kumbe wanataka kadhi ili wafanyie upuuzi huu..hiv wao kwanini wanapenda sana kuanzisha fujo fujo za hovyo kabisa,huyo mungu wa shekhe huyo ni mungu wa aina gani anayempa maono ya kijinga ya kugawanya watu huo ubabe wa kiboya umepitwa na wakati..waeneze dini yao kwa akiri kuliko kutumia siasa..hata wengne wanaweza kufanya hayo,ila wanawaona kama vichaa hawataki kulumbana..
 
Tatizo elimu za nashehe ni ndogo
na sijui ili uwe shehe unapaswa kuwa na sifa gani . Ndio maana viongozi
wa Dini wanatakiwa wachaguliwe wenye elimu na weledi wa kutosha tatizo wengine wanachaguana kama ccm sio sifa wanaangalia waangalia uwe na udhaifu ndio sifa kuu
 
Waislam mbona wachache sana! Hawana effect kwanza kura zao ni za mapepo.

Nachukia sana watu wanaodhani hisia zao ndiyo fikira zao. Hapa idadi ya waislamu imeingiaje na mapepo ya kura za waislamu yamekujaje kwenye hii mada. Humu ndani kuna tabia mbaya sana inaendelea kukua ya kuuona Uislamu ni dini ya kishetani na waislamu ni watu wasio na uwezo wa kufikiri.

Prof. Safari, Dk. mohammed Bakari wa Mzumbe na Prof. Lipumba kwa kuwataja wachache ni waislamu waliobobea kwenye fani zao lakini ni wazalendo nisio na shaka nao. Sasa kama uislam ni ushetani na ujinga hawa mbona si wajinga wala siuoni ushetani wao.

Najua kuna watu humu ndani wamemeza propaganda za wamarekani kama samaki amezavyo ndoano au mbwa anavyokimbilia kwenye mdomo wa Chatu. Hao Masheikh inawezekana kabisa ni wafuasi wa chama ambacho si CHADEMA na wamesema hayo waliyoyasema si kwa faida ya Uislam bali kwa faida ya chama chao wanachokishabikia.

Wingi wa watu kwenye eneo husika halihusiani na ushawishi wa watu hao kwenye jamii. Nyerere alikuwa Mkristo lakini akafanikiwa kujenga ushawishi kati ya wazee waanzilishi wa TAA na baadaye TANU ambao wengi wao waliku ni waislamu.Tuuheshimu Uislamu kama tunavyouheshimu Ukrsito. Kama hatutawaheshimu waislamu hatutakuwa na haki ya kuheshimiwa nao.

Maisha yangu yote nimeishi katikati ya jamii ya waislamu na wakristo wakiwa wamechanganyika na sijawahi kuona wakipimana uwezo wao wa kufikiri kwa kutegemea asili ya dini zao. Manchester United, Chelsea, Arsenal na timu nyinginezo tunazozipenda tunazipenda kwa sababu zimejaza waislamu tupu au wakristo tupu?
 
Ili uwe sheikh unatakiwa uwe na Elimu ya dini na maadili safi. Elimu ni jambo la kudumu kwani ukishaipata elimu basi umeshaipata. tuwahukumu hawa masheikh kwa uadilifu wao na si kwa elimu kwani kama elimu ya dini ya Kiislamu wanayo ila sina hakika na uadilifu wao au uwezo wao wa kuhimili ushabiki wao wa kisiasa ili wasije wakaingiza siasa chafu kwenye dini ya Mwenyezimungu.
 
Hawa waislam ni makuadi wa CCM,Wamekalia kutumika tu,ndiyo mana wamenyimwa kadhi.

Ndugu yangu usi- generalize mambo kwani ujue kwamba Profesa Safari ambaye ni kada wa CHADEMA ni muislam, kwa hiyo naye ni kuwadi wa CCM? Kukipenda chama fulani cha siasa haiwi ndiyo fursa ya kushambilia makundi mengine ya jamii kwa sababu tu baadhi ya watu kwenye makundi hayo wamekishambulia chama unachokiunga mkono.

Mahakama ya Kadhi na kauli za Masheikh huko Igunga inaingiaje. Kwa taarifa yako hata CHADEMA haipingi mahakama ya Kadhi na mjadala uliopo si kwamba mahakama ianzishwe au isianzishwe bali kama kuanzishwa kwake kutambuliwe kwenye Katiba au la na swali la pili ni kama Mahakama ya Kadhi ianzishwe kwa msaada wa serikali au ianzishwe na waislamu wenyewe.

No research No Right to Speak!!

TAFSIRI YA UISLAM HII HAPA.

The Islamic Religion
The word Islam is of Arabic origin, which means peace, cleanliness and submission. Therefore, Islamic religion can viewed as the state of any human beingdevoting himself/herself and accepting the teachings and the guidance of Allah. A Muslim is any person who accepts the teachings of this religion and submits himself/herself before Allah.

Allah delivered the guidance of this religion to his Holy Prophet Mohammed (Peace Be Upon Him) in 610 AD. This divine message was delivered through Arabic language. It is, therefore, important to note that Arabic language still remains the key language which is used for worship.However, other languages may be used for the purpose of interpreting the Holy Quran.

Na DK. Mwenda Mukuthuria wa Ergaton University, Njoro, Nairobi Kenya. kwenye andiko lake la “islam and the development of Kiswahili".

Maskini waislamu hawajui kuwa wanatumiwa kwa maslahi ya mafisadi hakuna atakayewajali tena mara baada ya uchaguzi
 
Mimi nadhani vazi lolote lile mtu avaalo hujisitiri. Suruali, shati, gauni, mtandio, dera, buibui, kanzu na mavazi mengineyo. Iweje hilo la huyo mama liwe selective tu kwamba ndilo la kujisitiri. Hapa nilipo nimevaa kitenge changu safi na niko kwenye kundi la watu. Sijasikia kuambiwa niko uchi. Kwa hiyo sioni sababu ya msingi ya kusema huyu mama kavuliwa hijabu kadhalilishwa. Wapo wanaopigwa wanavuliwa suruali, shati, kitenge lakini hawajawahi kufanya jambo kubwa sana la kuleta mfarakano. Penye ugomvi lolote laweza kutokea hata kutolewa meno nini kuvuliwa hijabu! Hawa watu kila siku hawakosi cha kulalamika. Kusamehe na kusahau kwao ni mwiko kilas siku kuchochea ugomvi. Kavuliwa hijabu , hadi wajukuu watkuja ambiwa. Tuwaombee hawajui wasemalo wala watendalo ni vipofu kuwaongoza vipofu wenzao.
 
aise wajemen hali siyo nzur basi kikwete akeme matamko kama hayo ambayo yanaweza kuja kutugawa sisi watanzania kama raisi

Pilipili haiwezi kuzaa jiwe bali pilipili. Huyo Kikwete ndo alianza!
 
ewe mwenyez mungu libariki taifa letu na uwalaani wote wanaoendekeza udini hasa viongozi wa dini wanaokubali kutumiwa kisiasa pasipo kujua nafasi yao kwa jamii.
 
hapo kwenye nyekundu mimi sihafiki na ni dhambi takatifu kuoa mke wa mtu mkuu, cuf kashakula ndoa alafu apewe nyingine wakati ya awali bado iko active?

Mgombea wa ccm anaitwa Peter Kafumu, hivyo kama huyu Sheikh anampigia debe mwajiri wake (ccm) basi ajue anampigia kafiri vile vile!
Hata hivyo bado nasuburi huyu sheikh na BAKWATA yake walaani kitendo cha vijana wa ccm wakiongozwa na Shigela cha kumpiga na kumjeruhi vibaya mwislam ndugu Salum wa CUF.
How low can ccm go?
 
Mbona hawa jamaa waislamu FEKI wanatusumbua, mnakumbuka hata tukio la Arusha walianza kuleta udini kwenye issue ya polisi kuua raia, sasa wamehamia wanatetea Rushwa.

Ngoja tusubiri Lowasa au Sumaye ashike hiki chama sijui watafanya nini maana kwa sasa mtu akiwa mkristu akinyanyaswa kwao heri ila muislamu akitenda kusa akakamatwa wanasema ni kinyume na maadili.

Sasa watawatetea hadi vibaka wa kiislamu tunaowauwa huku mtaani kwetu, na wale waislamu wanaokamatwa na madawa ya kulevya.

Hao si waislamu wa kweli, kwanza huyu nasikia sio muislamu alitumia jina hilo kwenda shule baada ya yeye kufeli darasa la saba, nashangaa wanapopiga kelele.

Muislamu anayemfahamu huyu mama asema anaswali msikiti upi?
 
Si halali kabisa kwa viongozi wadini kutoa maelekezo kwa wapiga kura! Lakini pamoja na Bakwata kusema hayo uchaguzi mkuu 2010 Mapadri bila aibu na magauni yao walisema Waumini tusiichague CCM! Mfaano ni Parokia ya Mpandaa,Ifakara,Bariadi,Tabora na Mbulu! Walitaaka waumini wamchague Padri mwenzaao Dr Slaa! Ukistaajabu ya Bakwata utaonaa ya Roman Catholic na Chaadema!
 
Soon dini kitakuwa chanzo cha vurugu nchi hii, hebu tusubiri na tuone

...mkuu kama umegundua hilo plz chukua hatua za kujaribu kuliepusha lisitokee coz vita haina macho...
 
Dahh ndugu zangu waislam ya ngoswe tumuachie ngoswe, tuwache siasa za majitaka jamani embu angalieni ile picha ya dc kavaa kilemba alafu watu tunashabikia eti kavaa hijabu hijabu gani manyonyo yanaonekana jamani? mimi ni mwislam tena safi na ninakereka sana ninapoona viongozi wachache wasio na elimu au wenye kuuza dini yetu kwa maslahi yao binafsi kutetea na kushabikia ujinga kama huu, shehe mzima anasimama na kuwatangazia umma wa waislamu eti msichague chama fulani, mara viongozi chama na dini fulani ni makafiri hapo tunapelekwa pabaya kwani hivo vitabu vyetu vitatuhukumu sisi wenyewe siku moja, haya hijabu mnalolipigia kelele dc kavuliwa ni lipi je ni hicho kilemba kinachoonyesha manyonyo njee? haya na hawa ndugu zetu wakiristo wakisema hakuna mkiristo kumpigia kura kafiri fulani wa kiislamu au chama fulani mnadhani nini kitatokea hapo? sisi waislamu tunatosha kuweka serikali madarakani kwa kura zetu? mmeshafanya tathimini kujua kati ya watu 43 million waislam ni wangapi wenye kupiga kura mpaka mjiamini kujibagua? miaka yote tunaishi kula na kusaidiana na hawa ndugu zetu wakiristo ambao leo mnawaita makafiri haya na wao wakiambiwa na sisi ni makafiri kuna ujirani, undugu, urafiki au kusaidiana tena hapo?? viongozi wa dini wakiislam au kikristo shime wacheni siasa na fanyeni kazi ya mungu.

Nanyie mnaowajumuisha au kuwatukana waislamu kwenye baadhi ya comment zenu wacheni mara moja kwani mkiendelea hamtakuwa tofauti na hao viongozi wa dini wanaohubiri chuki kwenye masinagogi na makanisa...kama umechukia sana basi mtukane shekh au padre husika na sio dini nzima kwani hata baada ya hao viongozi kushawishi waumini bado inabaki jukumu la muumini kuchagua mbichi na mbivu inakera sana na tutajutia hili siku moja.

Nawasilisha

Nimetiza picha ya DC mtandao auliouvaa kuuhita hijjab ni kutukana uislaam ni hijjab gani inayowacha kifua wazi.
chadematv's Channel - YouTube
 
nepi mambo vipi.
 
Nawapongeza sana waislamu! Huu ni uamuzi wa kishujaa sana. Hawa chadema na wapenzi wao wanawadharau sana waislamu. Me nawashauri waislamu wote wenye kadi za uanachama za chadema wazirudishe and wajiunge na chama kingine
 
Dahh ndugu zangu waislam ya ngoswe tumuachie ngoswe, tuwache siasa za majitaka jamani embu angalieni ile picha ya dc kavaa kilemba alafu watu tunashabikia eti kavaa hijabu hijabu gani manyonyo yanaonekana jamani? mimi ni mwislam tena safi na ninakereka sana ninapoona viongozi wachache wasio na elimu au wenye kuuza dini yetu kwa maslahi yao binafsi kutetea na kushabikia ujinga kama huu, shehe mzima anasimama na kuwatangazia umma wa waislamu eti msichague chama fulani, mara viongozi chama na dini fulani ni makafiri hapo tunapelekwa pabaya kwani hivo vitabu vyetu vitatuhukumu sisi wenyewe siku moja, haya hijabu mnalolipigia kelele dc kavuliwa ni lipi je ni hicho kilemba kinachoonyesha manyonyo njee? haya na hawa ndugu zetu wakiristo wakisema hakuna mkiristo kumpigia kura kafiri fulani wa kiislamu au chama fulani mnadhani nini kitatokea hapo? sisi waislamu tunatosha kuweka serikali madarakani kwa kura zetu? mmeshafanya tathimini kujua kati ya watu 43 million waislam ni wangapi wenye kupiga kura mpaka mjiamini kujibagua? miaka yote tunaishi kula na kusaidiana na hawa ndugu zetu wakiristo ambao leo mnawaita makafiri haya na wao wakiambiwa na sisi ni makafiri kuna ujirani, undugu, urafiki au kusaidiana tena hapo?? viongozi wa dini wakiislam au kikristo shime wacheni siasa na fanyeni kazi ya mungu.

Nanyie mnaowajumuisha au kuwatukana waislamu kwenye baadhi ya comment zenu wacheni mara moja kwani mkiendelea hamtakuwa tofauti na hao viongozi wa dini wanaohubiri chuki kwenye masinagogi na makanisa...kama umechukia sana basi mtukane shekh au padre husika na sio dini nzima kwani hata baada ya hao viongozi kushawishi waumini bado inabaki jukumu la muumini kuchagua mbichi na mbivu inakera sana na tutajutia hili siku moja.

Nawasilisha

By nditolo

Waislam mbona wachache sana! Hawana effect kwanza kura zao ni za mapepo.

Nashukuru hao mashehe wametusaidia sana....wamemwaga mboga sasa sisi tunamwaga ugali!!!

Viongozi wa makanisa nao watoe tamko rasmi kuwataka wakristo woote waiuunge mkono CHADEMA kwenye uchaguzi wa Igunga na wasiishie hapo moto huu wauendeleze mpaka 2015!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…