WAKATI vijana wa CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wakituhumiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya Mwenyekiti wa Wazee wa CUF, jana viongozi kadhaa wa chama hicho walikutana kwa siri na viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Igunga ili kuomba wakisaidie katika kampeni.
Bila kujua kwamba walikuwa wanafuatiliwa, viongozi hao wa CCM na BAKWATA walikutana katika Hoteli ya Peak Lodge mjini hapa, wakakubaliana kutumia kete ya hijab ya Mkuu wa Wilaya, Fatuma Kimario, ambayo ilidondoka wakati vijana wa CHADEMA walipomtia nguvuni DC huyo siku chache zilizopita, akiwa katika mkutano wa siri wa kukisaidia CCM.
Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa BAKWATA waliita mkutano na waandishi wa habari na kutoa msimamo. Walitoa kauli ya kuwataka Waislamu wote wa Igunga kukinyima kura CHADEMA.
Katibu wa baraza hilo wilayani hapa, Maulid Athumani, alisema Waislamu wamesikitishwa na udhalilishaji aliofanyiwa Fatuma.
Huku akijua kuwa Fatuma si kiongozi wa dini, wala vijana wa CHADEMA hawakumkamatia katika mazingira ya kiibada, Maulid alisema: CHADEMA imedhihirisha wazi kuwa ina chuki na dharau dhidi ya Uislamu na Waislamu tangu walipoachiwa watuhumiwa kwa dhamana kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Tabora.
Tunatamka wazi kuwa hatuna imani na chama hicho na tunawaamuru Waislamu wote na wapenda amani wasikipigie kura CHADEMA.
Hata hivyo, walipohojiwa juu ya tuhuma ya kukutana na viongozi wa CCM na kwamba mkutano huo ni njama za kuingiza udini katika kampeni, viongozi hao walikana, wakidai hawajui lolote.
Wakati mvutano wa hoja ya kutumiwa ikiendelea, mmoja wa viongozi hao wa BAKWATA alibainika kuwa na kalamu yenye maandishi ya CCM ambayo aliificha haraka baada ya kutambua kuwa amegundulika.
Hali hiyo ilizidisha fujo na baadhi ya viongozi hao kupandwa na ghadhabu na kuwashutumu waandishi wa habari kuwa wametumwa na CHADEMA kuuvuruga mkutano huo.
Nyie waandishi wengine hapa ni CHADEMA ndiyo maana hamtaki kutuelewa tunachokisema, sasa kama mkiendelea kututaka tuzungumze mnachokitaka hatuoni sababu ya kuendelea na mkutano huu, alisema Sheikh mmoja huku akiinuka, na mkutano huo ukavunjika.
Hata hivyo CCM imekana tuhuma za kuwatumia viongozi wa dini ya Kiislamu kuchochea udini na kuhusika kwake na vurugu dhidi ya wanachama wa CUF. Akizungumza na Tanzania Daima, Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigella, alisema hakuna kikao kama hicho kilichoketi na kwamba hizo ni propaganda za kisiasa zenye lengo baya.
Shigella alisema hawana sababu ya kuwatumia viongozi wa dini kwa sababu sera za CCM zinajulikana na kupendwa na Watanzania na kwamba wanaoweza kufanya hivyo ni viongozi wa upinzani hususan CHADEMA.
Akizungumzia kuhusika kwake na kumpiga mfuasi wa CUF, Shigela alikana kuhusika na tukio hilo na kudai kuwa kuna propaganda zinafanywa dhidi ya CCM ili kionekana chama kibaya.
Ndugu yangu mimi nina siku nne sijapita kwenye maeneo yanayodaiwa kutokea kwa tukio hilo, binafsi nimesikitishwa na taarifa za kuhusishwa; nawaomba wenzangu tufanye siasa za kistaarabu, alisema
aise wajemen hali siyo nzur basi kikwete akeme matamko kama hayo ambayo yanaweza kuja kutugawa sisi watanzania kama raisi
aise wajemen hali siyo nzur basi kikwete akeme matamko kama hayo ambayo yanaweza kuja kutugawa sisi watanzania kama raisi
taratibu bana!!Hawa waislamu bwana wasitubabaishe na hao mashehe wao! Kama wao wameanza kutangaziana kwny misikiti yao sasa inabidi na cc wakristu 2simame thn 2one sasa wao misiktin cc makanisani ful kampeni! Wamezoea hawa jamaa! Hijabu hijabu kama ni dili sana c mkanunue mvalisheni huyo Dc wenu!
Mama Wille km umeskia hayo toka mskitini kiongoz km Sheikh anashabikia co powah!
Jaman!Mbona ht waislam wengine wanakemea,leo nacheck ITV NEWZ wanaongelea hyo cjui HIJABU aliyovuliwa ht maana amna wanaoongea wako very smart na HIJABU kwel imezba ol part except uso na huyo DC kwenye picha hakuwa kw hawa waliokuwa wanaongea na mpk ukatokea kutokuelewana na mareporter haijawaingia akilin Plz!Kuen waangalifu na mnachosema msianze ubaguz wa din badae wengine mjekujua na ze way mko gud kula2mika
M OUT!
Waislam wanatumiwa na serikali kama toilet paper. Jamani wanazuoni hamuoni hili? au mmeamua kuwa watetezi wa waovu kwa kutumiwa kwa hisia za kidini??Kwakweli bila kumung'unya maneno (na hii itawauma wengi) kama ningepewa nafasi ya kuondoa kitu katika uso wa dunia na kisirudi tena NINGEUONDOA na kufutilia mbali UISLAM, hakuna nchi ambayo ina vita duniani ikawa ni ya kikristo, ukisikia vita visivyo koma basi kuna uislam, sasa sijui mungu wao huyo ni mungu gani! anayefurahia watu wafe, watoto wateseke na njaa, mungu asiyependa amani. Angalia SOMALIA, SUDANI, IRAK, IRAN, AFGHANSTAN, na kwingine kwingi.
Kuna nchi za kikristo kama PHILIPINES, AGENTINA zina amani kwasababu wa kristo wana mungu wa amani, mungu anayefundisha samehe saba mara sabini, mungu asiyetaka kisasi.
Maneno niliyosema yanaudhi ila ni kioo kwako wewe unayedhani umesimama kumbe umeanguka.
Dunia nzima tafuta gaidi, ama magaidi maarufu, hutakuta mkristo, hamran kijana wa zanzibar hapa, alishiriki kuua ndugu zetu pale ubalozi wa marekani, ni mwisilam angelikuwa ni mkiristo wangeliandamana hata wakavuka bahari kutulaani. kisa ni mwislamu haa kama hawajui.
watoto na damu inamwagika katika nchi nyingi chini ya mwamvuli wa DINI, IPI? UISLAM, nawambieni ombeni isiwepo pepo! na mungu wenu wa machafuko huyo!
WAISLAMU HAWANA TOFAUTI NI MCHUNGAJI YULE MAARUFU AKIMBILIAYE MAHAKAMANI KILA KUKICHA NA HAKUNA ALICHOVUNA ZAIDI YA SHIBE YA TUMBO LAKE TOKA ALIPOANZA HARAKATI.
UKWELI HUMWEKA MTU HURU, SIWEZI KUWA ADUI KWAKUSEMA UKWELI, IKIKUUMA IMEKUINGIA NATUMAI UTAPONA.
hivi huyu mama hapa mbona kifua, shingo yote nje nje!!
maadili yanaruhusu kweli?? kwa mama mwenye hishma anaacha shingo na kifua wazi namna hii??
[/QUOTE]
Usishangae mbona mama huyu nina habari zake kipindi yupo chuo cha ualimu alivyokua chuoni kuna jamaa alikua anahusiana nae kimapenzi na JK kampa shavu mtu huyo kati ya wizira zake na hajui kama ni mme mwenza?? mama sio mchoyo kwakweli.