Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,175
Reaction score
48,459
Siku mbili zijazo CCM Iringa watafanya uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya mkoa. Lakini kama ilivyo kawaida ya "Karma" silaha ile ile ya Udini na Ukabila ambayo huitumia dhidi ya wapinzani wao, leo hii ndiyo inakivuruga chama hicho hapa Iringa.

Uislamu, Ukiristo, Uhehe na Uchaga ndiyo mzizi wa Kampeni hizo.
 
Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
 
wacha wavune walichopanda.
 
Wewe ndie mpumbavu,maana kila kukicha mnasemwa vibaya,kwanini msibadilike jamii iwaamini.

Vyasaka acheni wivu wenu wa kijinga.

Mchagga atabaki kuwa Mchagga tu. Nyie semen masemayo, kamwe hatutawaabudu vyasaka, maana toka enzi za mababu hatujawahi kuwaabudu vyasaka japo mna madaraka. Sisi tupo safi kiuchumi, na hilo ndilo msingi. Hayo mengine semeni tuu maana mna midomo mabeseni ya kusema. Talk talk vyasaka
 
Kuoa binti wa kichaga ni sawa na kujenga nyumba kwenye milki ya balabala.
 
Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
Wanasemwa vibaya kwa sababu zipi? mwenye sifa lazima apewe nafasi nyie endeleeni kukaa kwenye Majeshi na forms lever faillier zenu wenzenu wako kila kona ya tanzania wametawala kila nyanza zote sasa sijui wewe ukiendele kulialia itakusaidia nini na chuki binafsi huku mwenzako anasonga mbele yaani mmeshikwa pabaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom