Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
Mchaga hawez kubadilika kamwe...mti wenye matunda ndio hupigwa....mchaga kasambaa kila mkoa,kila anakoenda anajikuta anajua kuliko wenyeji ndio mana anakuwa tishio.


Mchaga ni kama mkoloni kwa mikoa mingine
 
Mwenye tribal and religious sentiments kinywani mwao wanasikitisha tuwaombee maana hawatafanikiwa kuwagawa watanzania
 
Ndiyo. Ingawa Mushi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa UVT, Mwenyekiti wa Wilaya lakini leo wanahoji eti kama inawezekana Mhehe akagombea Uenyekiti wa Mkoa wa Kilimanjaro na akachaguliwa!
Je imewahi kutokea Mwenyekiti wa CCM mkoa kuwa anatokea kabila nje ya mkoa wa Iringa?
 
Siku mbili zijazo CCM Iringa watafanya uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya mkoa. Lakini kama ilivyo kawaida ya "Karma" silaha ile ile ya Udini na Ukabila ambayo huitumia dhidi ya wapinzani wao, leo hii ndiyo inakivuruga chama hicho hapa Iringa.

Uislamu, Ukiristo, Uhehe na Uchaga ndiyo mzizi wa Kampeni hizo.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
Wachagga are industrious na ukitaka kujua sehemu yoyote yenye maendeleo watu hutafuta maendeleo zaidi sasa wachagga mnawachukia kwasababu ni wapambanaji and they question sio watu wa ndio mzee
 
Back
Top Bottom