Udini na Siasa Vyaitafuna Mbeya City

Udini na Siasa Vyaitafuna Mbeya City

inawezekena ukawa kweli una nia nzuri na timu,ila hoja ulizoleta hapa hazina ukweli na ndio vitu kama hivyo huanza kupandikiza watu chuki na kuleta migogoro ndani ya timu.

utake usitake mbeya city lazima kuna tatizo, isinge drop faster hivo
 
alitekuwa kocha msaidizi wa MCC FC aliondoka kwa sababu gani.??

Alikataa kuongozwa na kocha aliyemzidi elimu na maarifa........mbaya sana huyo kocha mkuu hakujua kuthamini kazi ya msaidizi wake ambaye kimsingi ndiye aliyekuwa anaisuka timu vyema
 
Mwambusi amejiuzuru kufundisha mbeya C, nadhani ni muda muafaka kumrudisha huyo aliekua kocha msaidizi.
 
kweli kabisa hawa wanaosema panone hafanyi vzr huenda hawajui kufanya comparative analysis
 
Mwambusi amejiuzuru kufundisha mbeya C, nadhani ni muda muafaka kumrudisha huyo aliekua kocha msaidizi.
watafakari kwa kina au waende matawi ya juu zaidi
 
mimi ni shabiki wa toto africans lakini pia naipenda sana mbeya city mimi huwa nakasumba ya kufurahia timu zinazowafundisha yanga na simba adabu sizipendi timu hizo za pwani angalizo kwa ccm mbeya wasiitumie timu kwa manufaa ya kisiasa timu itakufa
 
Ife mara mbili subili kichapo mfulilizo kisha inashuia daraja,ilikuja na nguvu ya soda gas imeisha timukwaheli
 
heri yako wewe umechagua fungu lililo jema
 
Ife mara mbili subili kichapo mfulilizo kisha inashuia daraja,ilikuja na nguvu ya soda gas imeisha timukwaheli
kweli una hasira nayo, lkn je huoni ilileta chachu ya ushindani kwa soka la Tanzania?
 
Mwisho niseme tu,wengi wanataka kujitia unabii kuitabiria mabaya mbeya city na kujifanya wanaijua sana hii timu,sasa mkae mkijua kuwa Mbeya city haitapotea na wala haitashuka daraja kama wengi mnavyoiombea.Sisi wana mbeya na mashabiki wa timu yetu ya Mbeya city tutaendelea kuiunga mkono na kamwe hatutasikiliza maeneo yenu.Tunashikilia mkia lakini mkae mkijua tu tutarudi kwenye fomu yetu.

IDUMU MBEYA CITY,WADUMU MASHABIKI WAKE,WADUMU WANA MBEYA,WADUMU WADHAMINI.
TIMU YETU TUNAIPENDA NA DAIMA TUTAKUWA NAYO.
MUNGU IBARIKI MBEYA CITY FC,MUNGU TUBARIKI WANA-MBEYA......AMEN
Mimi sio Mwana-Mbeya na wala sijawahi kufika Mbeya hata hivyo nilishaanza kuipenda ile timu kwa jinsi ilivyokuwa inatoa changamoto!! Hata hivyo, nikaamua kusoma mstari kwa mstari wa post yako huku nikitarajia kuonn sehemu ambayo umeeleza ni nini hasa kimeikumba Mbeya City matokeo yake... aaaaaaaargh, hilo hitimisho ni wewe mwenyewe ndio unalielewa!!!

Binafsi wala siamini suala la udini lakini naamini siasa lazima itakuwa imeingia pale! Kuna siku, kwenye msimu uliopita, nilimuona kiongozi mmoja, ama wa CCM au kutoka MCC! In short alikuwa ana-appraise mafanikio ya Mbeya City lakini alikuwa anaongea kisiasa... kimsingi alinekera coz' nilishajua ndo mwanzo wa kuiharibu timu!!
 
mimi ni shabiki wa toto africans lakini pia naipenda sana mbeya city mimi huwa nakasumba ya kufurahia timu zinazowafundisha yanga na simba adabu sizipendi timu hizo za pwani angalizo kwa ccm mbeya wasiitumie timu kwa manufaa ya kisiasa timu itakufa
Wivu unakusumbua... huku niki-assume kwamba unatoka Mwanza basi no wonder Mwanza lijiji likubwa lote lile huku Wasukuma wakiwa ndo kabila kubwa kabisa huku likiwa na watu walioshiba kweli kweli lakini bado hamna timu hata moja kwenye premier league... ukiwa na husuda mungu anakuondolea baraka kwahiyo acha husda ili Toto na Pamba zirudi kwenye game!
 
sidhani kama umamjibu vyema mtumishi
 
kweli una hasira nayo, lkn je huoni ilileta chachu ya ushindani kwa soka la Tanzania?

tatizo la timu nyingi za kwetu viongozi wengi wanaangalia masilahi yao hakuna mwenye uchungu na timu kwasababu haina mwenyewe ni timu ya umma ukimuuliza mtu umma ni nani, hakuna jibu la mojakwamoja, ni bora timu iuzwe ili imilikiwe na mtu mmoja ,kwani yeye atakuwa na uchungu wa pesa zake
 
Back
Top Bottom