M Michael Mwakyusa JF-Expert Member Joined Mar 18, 2012 Posts 306 Reaction score 55 May 20, 2012 #1 Eti henry ni mkristo furani ni muislam inatusaidia nini.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 May 20, 2012 #2 sasa wewe inakuhusu nini wakina henry wako ulaya wewe upo hapa tz udini wao wewe unakuwasha nini? Kama huna cha kupost sio lazima upost soma za wengine upate fikara tofauti?
sasa wewe inakuhusu nini wakina henry wako ulaya wewe upo hapa tz udini wao wewe unakuwasha nini? Kama huna cha kupost sio lazima upost soma za wengine upate fikara tofauti?