Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
Kama majina hayajapelekwa na Uvccm Je? Au labda ndo hayo yamepelekwa mkurugenzi afanyeje?? Kakate kadi ya chama acha kulalamika au badili dini tena ukaswali anaposwali mhusika. Mambo mengine ni kujiingiza kwa nguvu tu
 
Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana

Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?

Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
 
Wanavyojua kulalamika hivyo mkuu!huwa husikii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani tena huyo analeta tabia za Ramadhan Dau na Bi. Chiku Mattesa!?!

Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine unatakiwa kuanza kuangalia kwanza hizo teuzi zake yy huo magufuli hlf ndio utapata jibu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unaeshitaki kwake nae pia anafanya teuzi kwa kupendelea dini yake

Kesi ya nyani wampelekea ngedere asuluhishe.

Haya ngoja tungoje hukumu
 
Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana

Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?

Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom