Udikteta pia ni Kipaji

Udikteta pia ni Kipaji

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,317
Siongelei Benevolent Dictator (yule anayefanya mazuri) naongelea hata yule anayeuma na kupuliza lakini kuweza kupuliza unahitaji kuwa na ruthless ambition, charisma, na manipulative skills...

Tatizo mtu ambaye hana manipulative skills na charisma (watu wamkubali) anaweza akajikuta anachukua hio power na mwisho wake dictating inatokea kwenye players tofauti, tofauti wasio wema wala aibu ukizingatia kila baya (backlash) haliwapati wao moja kwa moja bali kwa aliyepo mbele.

Hata Hitler alikuwa Charismatic Orator - kitu kilichomfanya aweze ku-get away with murder kwa muda mrefu sana bila kupoteza mashabiki....
 
labda Hitler pmj na makandokando yake lkn bado alikuwa na mapenzi ya dhati kwa nchi yake na watu wake infact aliwapenda zaidi watu wake mpaka kuamua kuangamiza foreigners ili watu wake waishi, na hakugawa bandari za Ujerumani kwa foreigners, hakumilikisha rasilimali kwa foreigners or foreign looking germans, hakufukuza wajerumani kwenye ardhi yaa na kuigawa kwa foreigners, so ukiangalia sana utaona bado madictator wa Ulaya ni waaay better klk hawa muslims wa dark continent ambapo wanatesa na kuuwa watu wao wenyewe, wanagawa mali za urithi wa vizazi to foreigners, angalau madictator wa Ulaya ni wabaya kwa foreigners lkn wanapendelea watu wao, sisi ni the opposite ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom