Wana JF leo naomba tuliangalie suala la ndugu zetu wanaoendelea kupotea kwa kuchomwa visu na wahuni wakiwemo mateja alafu bado tunadai kuwa Tanzania ni nchi ya amani. Je polisi wameshindwa kuhakikisha udhibiti wa matumizi ya silaha ndogo ndogo kama visu na mapanga hasa kwa hawa vijana waliobobea katika suala la madawa ya kulevya? Naomba maoni yenu wakuu wangu