Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Tatizo letu wabongo ni kupinga ukweli, LOWASSA ndiye tumaini la watanzania na huo ukweli utasimama daima
 
Shetani huja kama malaika wa nuru. Tanzania safari hii lazima awapeleke kuzimu
 
Msichanganye mambo jamani; kinachotafutwa hapo ni five millions signatures kumwunga mkono Mzee aende Magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…