mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje.
Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu.
Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga hawana mchango kwenye timu zao xa Taifa.
Timu zote zinazodhaminiwa na GSM huwa zinacheza na Yanga kukamisha ratiba tu,wachezaji wa yanga hawapti kashkash za maana