Udhamini wa elimu ya juu Hazina???????

Esir

Member
May 4, 2012
30
3
Mazee noana HESLB imesizi hadi mida hii, lakini mimi niliomba na udhamini wa Hazina, wadau hakuna mwenye dodoso wizara ya fedha nao wanatoa lini majina ya waliopatiwa udhamini? nimetega kotekote na tayari niko admitted kwa moja ya chuo chao IAA Arusha.
 
huo udhani wa azina ulikuwaje aisee, mbona hii ilinipita,
 
Back
Top Bottom