Udhalilishaji huu wa wanawake ni jipu linalokua kwa kasi

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
31
Habari wana JF wenzangu,

Nimeguswa kuleta uzi huu kwenu baada ya kuona kama inakuwa mazoea na hakuna anayepiga kelele kuhusu udhalilishaji huu.

Kumekuwa na wimbi la wasanii wa bongo fleva kutoa video zinazoonesha wanawake wakiwa watupu, tena bila aibu wakitegemea ziangaliwe kwenye public wakati zipo too pornographic.

Huku ni kudhalilisha wanawake, na ukiangalia asilimia kubwa ya wanaosifia ni wanaume, wakisahau kwamba wana dada zao, mama zao na binti zao, vipi wangekuwa miongoni mwa hao wanaojianika utupu, wangesifia the same way?

Video hizo ni Zigo wa AY, Asanteni kwa kuja wa FA, na Achia body wa Ommy Dimpoz, ni udhalilishaji kwa wanawake na wasipodhibitiwa kweli tunaelekea pabaya.

Mamlaka na taasisi husika hawalioni hili? Taasisi za kutetea haki za wanawake nazo hazilioni hili?

Mwisho naomba Mheshimiwa Nape atusaidie kwa hili.
 
Habari wana JF wenzangu, Nimeguswa kuleta uzi huu kwenu baada ya kuona kama inakuwa mazoea na hakuna anayepiga kelele kuhusu udhalilishaji huu. Kumekuwa na wimbi la wasanii wa bongo fleva kutoa video zinazoonesha wanawake wakiwa watupu, tena bila aibu wakitegemea ziangaliwe kwenye public wakati zipo too pornographic. Huku ni kudhalilisha wanawake, na ukiangalia asilimia kubwa ya wanaosifia ni wanaume, wakisahau kwamba wana dada zao, mama zao na binti zao, vipi wangekuwa miongoni mwa hao wanaojianika utupu, wangesifia the same way? Video hizo ni Zigo wa AY, Asanteni kwa kuja wa FA, na Achia body wa Ommy Dimpoz, ni udhalilishaji kwa wanawake na wasipodhibitiwa kweli tunaelekea pabaya. Mamlaka na taasisi husika hawalioni hili? Taasisi za kutetea haki za wanawake nazo hazilioni hili? Mwisho naomba Mheshimiwa Nape atusaidie kwa hili.
Nahisi wewe ni jinsia ya ke!
Dada hakuna anayewadhalilisha but wadada ck huzi mnapenda kutembea nusu uchi, mnaacha viungo mhimu wazi kusudi tuvione sijui mnatutega!
Nikuulize,,,unafikiri waliocheza nusu uchi unahisi walilazimishwa au waliridhia?
Badilike wadada na msipobadilika sisi tutaendelea kukodolea macho..hebu google waone wenzio (nsia swai)
Ukicheki unipe majibu wanadhalilishwa au wajidhalilisha wao
 
Mkuu wa kwenye video ni wenyewe hakuna anayelazimishwa nadhani wengine wapo kazini pale,so ni mwanamke mwenyewe kuijua thamani yako.
 
Hakuna anaewadhalilisha hapo sidhani kama walilazimishwa kuvaa hizo nguo,ninachokiona kwa sasa wanawake Wa kileo ndo maisha waliyoyachagua wanatamani watembee bila hata nguo kiyo ya hiyo video we potezea kuendekeza umasikini,kutokujitambua,ushamba mzigo ndo kinapelekea yote hayo
 
Yani we kazi ya watu unaita udhalilishaji..Ngoja Giggy money akusikie
 
Aisee!
Zigo ni zigo kweli AY ana mambo sijui kawatoa wapi wale warembo maana si mchezo kabisa!
 
Ha ha haaaaaaaaaa WEWE MBONA UNA UMIA NA KUMUONEA HURUMA MSHENZI ASIYE JIDHAMINI WALA KUJIJALI?!!!!, WAO WANAONA RAHA KUJIANIKA HIVYO ILI WATU WENYE HELA WAVUTIWE NA WAO NA KUWAHONGA HELA ILI WAWE KWENYE MAHUSIANO, SO USISHANGAE NDO WANATANGAZA BIASHARA KWA STYLE HIYO AND WANATAFUTA USUPASTAA KWA NJIA HIYO. SO SINA MUDA WA KUUMIA KICHWA KWA UPUUZI WA MTU!!! KAMA YEYE ANGEKUWA ANA JIDHAMINI ASINGEFANYA HUO USHENZI WA KUJIONYESHA UTUPU
 
Mamlaka husika walipaswa wakemee zisionyeshwe.

Watu wanashangilia hapa wakati wengine watoto wao wanawaacha na wasaidizi wa kazi ambao wanashinda kuangalia hizo video....
 
Mamlaka husika walipaswa wakemee zisionyeshwe.

Watu wanashangilia hapa wakati wengine watoto wao wanawaacha na wasaidizi wa kazi ambao wanashinda kuangalia hizo video....
Sasa kama hizo video zisioneshwe
basi na mitaani pia wasiruhusiwe kutembea na nguo zile
mko tayari? kwa sheria hizo?

manake kama mitaani ni ruksa why lkwenye tv isiwe ruksa?
 
Sasa kama hizo video zisioneshwe
basi na mitaani pia wasiruhusiwe kutembea na nguo zile
mko tayari? kwa sheria hizo?

manake kama mitaani ni ruksa why lkwenye tv isiwe ruksa?
My dear kuna nguo na nguo...kuna baadhi zikivaliwa hadi naona aibu mimi..... (kasoro vimini ambavyo vipo juu kidogo ya goti..... )
Sio umini akiinama mali nje nehinehi... so yep tupo tayari

Ila je watoto wanawaona wanawake wangapi wamevaa nguo vifupi huko mtaani????? Unless kama watoto ni wazururaji hawana uangalizi??? Kati ya tv na kuwaona live lipi linafanyika sana?

Watoto wangapi wana access ya kumuona Gigymoney live au kwenye tv????
 
wanawake kabla hawajadhalilishwa wameshajifhalilisha

Wao ndio wanaoongoza kupiga picha za utupu
 
My dear kuna nguo na nguo...kuna baadhi zikivaliwa hadi naona aibu mimi..... (kasoro vimini ambavyo vipo juu kidogo ya goti..... )
Sio umini akiinama mali nje nehinehi... so yep tupo tayari

Ila je watoto wanawaona wanawake wangapi wamevaa nguo vifupi huko mtaani????? Unless kama watoto ni wazururaji hawana uangalizi??? Kati ya tv na kuwaona live lipi linafanyika sana?

Watoto wangapi wana access ya kumuona Gigymoney live au kwenye tv????

Nina ndugu wanaishi Europe walishangaa walipokuja TZ music tv channels ni free
EATV Clouds na channels zote za muziki hazitakiwi kuwa za free
tatizo linaanzia hapo....

tunatakiwa channels za burudani ..za music zilipiwe
mzazi awe na option ya kusema hii channel siilipii sitaki nyumbani kwangu

na bongo movie zote ziwekwe umri unaotakiwa
zioneshwe zile ambazo ni za kila age...ambazo ni above 12 zioneshwe kwenye pay tv
mzazi awe na options....hilo ndo halifanyiki
 
Hata wasipotuvulia kwenye video watatuvulia chumbani tu hakuna namna ths is new world liv ur life bro" wanamake money pale ni kazi yao kuzalilishwa labda wangeshikwa shikwa hovyo
 
My dear kuna nguo na nguo...kuna baadhi zikivaliwa hadi naona aibu mimi..... (kasoro vimini ambavyo vipo juu kidogo ya goti..... )
Sio umini akiinama mali nje nehinehi... so yep tupo tayari

Ila je watoto wanawaona wanawake wangapi wamevaa nguo vifupi huko mtaani????? Unless kama watoto ni wazururaji hawana uangalizi??? Kati ya tv na kuwaona live lipi linafanyika sana?

Watoto wangapi wana access ya kumuona Gigymoney live au kwenye tv????

uwe unaniita 'my dear often'
i like it...
 
Back
Top Bottom