Udhaifu wa wanawake

Udhaifu wa wanawake

Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila.
Imeandikwa ombeni mtapewa ile kutabasamu au kutoa chochote hata kama hakina thamani ni ishara tu kwamba mhusika yuko serious na maombi yake na hilo tu ndilo muhimu na wala sio thamani ya kile kinachotolewa. Mila zetu zilipiga sana pini mianya ya wanawake kutokeza kwenye anga zinazoweza kumfanya afikishiwe ombi ndio maana ndoa zilikuwa salama kwa asilimia tisini. Ilikuwa si ruksa msichana kusimama na mwanaume au kuwasiliana naye kwa njia yoyote kama sio ndugu wa karibu na kina mama husindikizana na kutembea kwa makundi wasisogelewe na wazengeaji; sasa mfumo wa kifreemason uliyoletwa na wamagharibi kumfungulia mwanamke mtaani kama bomba la maji ndo wanakutana na mkenge wa aombaye hupewa na hakuna nguvu ya kukwepa hilo ni kweli ya uumbaji.
 
hata bikin,top, usafiri, ---- off to dem!
 
Waswahili wanasem bahari hailindwi kwani mwanamke ni mtu wa pekee katika maisha ya binaadam kwanza mwanamke ni mtu wa kuridhia na ni mtu wa kudanganyika mara moja majuto baadae shetani yuko karibu sana na mwanamke kwa kama utamchunguza mwanamke utakosa hata wa kumuoa ktk dunia hii ni bora kufanya tu maamuzi ya mara moja ila kwa hili utaumia?
 
hata uweke kilak2 girls are stupid all the tym kwan huwaon wake zamatajiri wanavyogegedwa kizembe nawazembe ilhali each and everything anapata kwa home yake

weweeee acha hizo kwani wanajigegeda wenyewe bana? mbona na nyie mnapewa kila aina ya mapenzi na bado mnagegeda nje? usiwalaumu wote hata nawe pia mdhaifu vilevile.
 
Hilo jambo ni gumu, hasa kwa wadada wanapenda wanaume ambao tayari wanamafanikio. Inakuwa rahisi kwao kumegwa.
 
ndo uwe unamwachia mwanamke wako hela ya kutosha, sio unataka nyama kuku samaka huku unaacha 2,000.00
Umesahau mwanamke hanunuliwi nguo moja tu unafikiri ataacha kutafuta wasaidizi wa huduma. Kibaya zaidi mumewe ana uwezo ila anaona mkewe kumtimizia sio lazima
 
Mm nakataa kwa sababu hii ni tabia ya mwanamke na si wenye tabia kama hyo bali hyo inakuwa ni tamaa ya mwanamke najua kama kuna dizaine nyingi za wanawake sasa kila mmoja na tabia yake hata umuachie kiasi gani kama hatosheki lazima atatoka nje ya ndoa yake mbona kuna wanawake maskin wengi lkn hawana tabia hyo na pengine hata hela ya mboga huna mpaka urudi kazin na utamkuta yuko pale pale nyumbani anakusubiri umepata kitu gani ila kwa kweli wengine tabia yao sio nzuri sawa?
 
Back
Top Bottom