Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,167
- Thread starter
-
- #21
Na wala hijistukii
mkuu hivyo vitu kufanyika katika ngazi ya chini haishangazi sana(na sidhani kama ni waafrika tu tuko hivyo)...ila nchi kama nchi kufanya hivyo kwa mtu mmoja ilo mi ndo linanishangaza sanaMkuu haya mambo tumejizoesha kuanzia ngazi za chini... mfano mtu ukiskia mgeni anakuja kwako ndo unaanza kusafisha ghetto na kama ukimshtukiza utaskia oooh ndo nilikua nataka nifanye usafi... hata mdada ukiongozana nae kwake baada ya kutoka kazini mkifika utaskia ooh leo sikutandika kitanda nilichelewa kuamka....sasa hii imeenda hadi kwenye ngazi za kiutawala siku mkipata mgeni ndio mnahangaika kumwaga vifusi barabarani kisa waziri anakuja.. hii niliionaga pale SUA mwaka 2004 alipokuja waziri wa elimu ya juu aisee barabara zilimwagwa vifusi utadhani nani anakuja sijui...sasa kama wasomi tu wanafanya hivu si ndio mfumo mzima uko hivi? Kwa kweli sisi waafrika kuna kitu bado tunakikosa kwenye akili zetu na tabia hizi kwa mtu mmoja mmoja ndio zinajengeka kuwa tabia za jamii nzima... ila cha kushangaza utakuta tabia zetu zinafanana across Africa hata kama mataifa yetu ni tofauti.
Na wala hijistukii
Kama wewe unavojiita the boss badala ya ngosha ..... Nduukiiii.
Nilichotaka kusema kimeshasemwa. Kwa maana ingine macho ya sisi waafrika yameshiba kawaida na mazoea. Tunaiga kuvaa skin tire na milegezo hatuigi kujipanga na usafi maridhawa.
Hii sina tafiti nayo ila inasemekana asilimia kubwa ya wanafunzi Wa kiafrika has a Wa boarding schools has a wakiume wanapiga passport size kuoga. Hope mmenielewa.....
Kasie beeiibeee, what up doe?
Jina langu unalijua ni la kiafrica
boss ni username
mzima lakini? mfungo umeisha na wewe umepanda bei naona..hupatikani
Hahaaa ujio Wa Obama umenipandisha bei, was fully utilised huko Kenya Nairobi nikavuka hadi Ethiopia huko nimerudi nikiwa hoooiii bei iko juu zaidi ya ile uliyokuwa unaijua. Dollar haioni ndani ni nwendo Wa Euro tuu
Ila siku mingi sijaonana nawe....
Na kweli.
Maana unakuta eti Mhehe au Mngoni anaitwa Lilian Johnson!
Na kweli aisee.