Udhaifu wa Lowassa: Pengo la Dr. Slaa halina spare

Udhaifu wa Lowassa: Pengo la Dr. Slaa halina spare

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,476
Reaction score
21,042
Udhaifu wake wa kuongea(public speaking) ,kutoka speech zenye mvuto mbaya zaidi kutokua genuine ( uhalisia) wa kile anachokizungumza na kukiahidi nachelea kusema mbowe nenda ukamuombe radhi Dr slaa aokowe jahazi.

Lowasa ni dhaifu,ni muongo sura yake na anachokizungumza haviendani huu ni uthibitisho tosha deal la Richmond alilipiga na nia yake kwa watanzia sio nzuri.

Sikufikiria hata siku moja kuipigia CCM kura kwenye urais ila Leo hii Edward Lowasa akiwa viwanja vya jangwani amenishawishi kufanya hivyo
 
Point noted, but ngoja wenyewe wafia chama waiopenda kuusikia ukweli huu wakushambulie, hadi utajuta.dada yangu hapa ni cdm kindakindaki amelia na ameshindwa hata kula, yuko so disappointed, ni dalili wengi wako dissaponted
 
Jamani huyu mzee yuko wapi? maanake hajaonekana ktk uzinduzi wa kampeni pale jangwani.
 
Hatuwezi kurudi nyuma kwa kutaka mtu mwenye porojo asiye na utendaji.Porojo nyingi bila utendaji ni tabia za Lumumba.
 
Kama munatka kusikia waongeaji nendeni kwenye maharusi, huko mutakutana ma mc mutasikiliza maneno kibao, mpk mutachoka........wengine hayo aliyoongea tumeshayasikia na kuelewa......CCM wanaojua kuongea wamelifanyia nini Taifa hili zaidi ya kulifilisi,ESCROW,TEMBO,TWIGA KWENYE NDEGE,MADAWA YA KULEVYA,MIKATABA MIBOVU YA MADINI,AFYA DUNI, KUUA SHIRIKA LA NDEGE, KUSHINDWA KUFUFUA RELI, RUSHWA BANDARINI.......leo munataka maneno mengi, na vile CCM wanajua tuna kundi kubwa la wapumbavu wanaopenda kusikia porojo hata wakiiba wanajua tu wakija na ngonjera mambo yanaisha, watanzania wanaelewa na maisha yanaendelea.......mniwie radhi sipo tayari kwa huo ujinga.
 
Binafc Jana nimeona pengo LA Dr. Slaa, kma cdm wako serious waende wakaongee na Dr, aje na nondo zake,
 
Afu huyu jamaa ni fixed asset..hawezi kutoka nje ya dar..anasema eti watu wa dar wawapigie simu ndugu na marafiki walioko mikoani...kampenugani hizi?? ameonyesha madharau makubwa sana kwa watu wa mikoani...
 
Hata Mbowe anafahamu kuwa Lowasa hafai lakini alituambia yeye hawezi kuacha mtaji wa watu milioni moja ambao Lowasa amekuja nao!!!!!!!!!!!
 
Lowassa Ni Dhaifu, Muhongo Na Dhamira Yake Inamsukuta.Mambo Anayoyaongea Mengi Anaongea Kisiasa.Na Hana Dhamira Ya Kweli Na Wala Hajui Ni Kwa Namna Gani Atayatekeleza Ili Kuwaletea Maendeleo Wananchi.Jana Usiku Wakati Anatusomea Lile Gazeti Lake.Mda Mwingi Alikua Anaangalia Chini.Kuonyesha Jinsi Dhamira Yake Inavyomsuta Na Ahadi Zake Za Nadharia Na Porojo Alizokua Anazitoa.Lowassa Hafai Kua Kiongozi.Labda Wampe Uenyekiti Wa Umoja Wao Wa Malofa.
 
Mbowe rudisha chama chetu. Umetusaliti wapenda mabadiliko chanya...Lowassa sio mtu sahihi wa kuongoza mabadiliko.

Hawezi kushawishi kwa fikra zaidi ya pesa zake. Ni mtu ambaye amejifunika koti la mabadiliko lililoshindwa kumuenea.

Heri ya Dr Slaa...angetuvusha lakini sio huyu fisadi.
 
Udhaifu wake wa kuongea(public speaking) ,kutoka speech zenye mvuto mbaya zaidi kutokua genuine ( uhalisia) wa kile anachokizungumza na kukiahidi nachelea kusema mbowe nenda ukamuombe radhi Dr slaa aokowe jahazi.

Lowasa ni dhaifu,ni muongo sura yake na anachokizungumza haviendani huu ni uthibitisho tosha deal la Richmond alilipiga na nia yake kwa watanzia sio nzuri.

Sikufikiria hata siku moja kuipigia CCM kura kwenye urais ila Leo hii Edward Lowasa akiwa viwanja vya jangwani amenishawishi kufanya hivyo

Taratibu Tu Mtaanza Kuelewa Ni Kwanini Mzee Mkapa Aliwaita Hao " Wapumbavu Na Malofa ". Tanzania Tumeshapata Nabii Mwingine Baada Ya Nyerere Na Sasa Ni Mkapa. Unatakiwa Uwe Na AKILI KUBWA MNO Kuweza Kumwelewa Mzee Mkapa Ila Ukiwa Na Akili Ya Kipumbavu Na Kilofa Huwezi Kumwelewa Kamwe Na Milele.
 
Dada uliyeweka hii thread,we ni mtoto wa kike unaweza ukampima udhaifu wake kwa kumuonjesha kiduchu,lkn ukituambia ni dhaifu thioretically mm ckuelewi,otherwise find point not pointless
 
naam,sitatoa kura yangu kwa mtu kama lowasa,hana hata point za msingi,bora nimpgie huyu msukuma ,
 
Very good thread.. Taratibu malofa wameanza kuelewa.
 
Mtoa mada hujawahi kuwa CHADEMA hebu acha unafiki tunakujua siku zote uko wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom