Uchaguzi 2020 Udhaifu wa hoja za CHADEMA kwa wagombea wao, sidhani kama watatoboa

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,901
14,363
Wakuuu nawasabahi,zidumu fikira za mwenyekiti wa wachama!

Kuelekea uchaguzi mukuu,wapinzani hasa hawa watu wanaojiita CHADEMA Wamekuwa wakidai kuwa wagombea wao ambao wanatajwa kuwa na nguvu chamani akina Mbowe na huyu jamaa Lissu ni tishio kwa chama cha CCM.

Wameenda mbali zaidi na kumkejeli Rais na nwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Mheshimiwa J.P.Magufuli eti ni one term president,Ili kujua kuwa CCM haiogopi Lissu wala Mbowe nawaomba wasome hapa kile wapinzani wanapitia huko Uganda kuelekea uchaguzi mkuu >>

Hoja zifuatazo zinatosha kabisa kujua CCM inabeba kombe asubuhi tu bila shida yoyote.

Moja,kama CCM ingekuwa na wasiwasi kuwa uchaguzi huu itapoteza kura ingetumia propaganda za uwepo wa korona kwa kuzuia mikutano ya kampeni ili kuvifanya vyama pinzani ambavyo kwa mtoto aliyetimiza miaka 18 mwaka huu havijui hivyo kuvifanya visipate muda mzuri wa kuuza hoja zake kwa RAIA ana kwa ana.hali ambayo ingeifanya CCM ishinde kwa asilimia mia kwani CCM inajulikana hadi kwa mtoto aliyezaliwa juzi.mfano mzuri ni huko kwa Mseven,yeye amesepiga marufuku mikutano ya kampeni na kuwataka wagombea kujinadi kupitia redio na luninga,kwa hapa lazima mseveni ashinde kiulaini,lakini kwa kuwa tuna bingwa wa demokrasia nchini mwetu hiki kitu kwetu hakitakuwepo.

Pili hawa wapinzani wanajipambanua kuwa wana siraha matata sana iliyokimbilia ughaibuni imebaki kuhutubia wafuasi wake kupitia mitandao,siraha hiyo ni huyu bwana anayeitwa Lissu,eti wanaamini kabisa CCM inamuogopa lissu,na wanaamini kuwa huyu bwana eti anaweza kuwa rais wa JMT.hoja hii haina mashiko kwani kama CCM ingekuwa inatambua kuwa lissu ni tishio kwa urais wa John P. Ingetumia hoja ya kufunga mipaka na kutoruhu ndege kutua nchini hadi hapo tarehe 25 mwezi wa kumi(baada ya uchaguzi) hivyo huyu bwana ambaye yuko ughaibuni asingeweza kuja nchini kufanya kampeni na hivyo kuwafanya CHADEMA wapate mugombea dhaifu ambapo hali hii ingepelekea chama cha mapinduzi kupata ushindi wa asilimia mia mmoja kiulaini

Mwisho kwa kutambua kuwa CHADEMA ni loser katika uchaguzi huu milango ineachwa wazi ili angalau wapate hata wabunge wawili.

Good night

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nitamchagua jpm
JamiiForums-81800222.jpg
51887243fd5f4646815b30ecbe10470c.jpg

Kwa Tume hii hata angegombea Jk upande wa upinzani wasingetoboa
 
Mmeamua kuchukua ujuzi kutoka kwa dikteta mwenzenu Museveni, mnafanana na Nkurunzinza pia mwaweza kuiga ujuzi wake.
 
Chadema si imeshauawa na Malaika Jiwe Yesu! Hofu ya nini!

CCM hamuhitaji hata kufanya kampeni kwani SGR, Stiglers, midege na flayover zimetapakaa kila mahali!
 
Back
Top Bottom