Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
Kumekuwa na thread nyingi zinazo husu udhaifu wa Bunge la Tanzania.
Naomba kila mtu aweze kuchangia mawazo yake huru kuondoa ukakasi uliopo kwa sasa juu ya adhabu zinazotolewa kwa watu wanaosema bunge ni dhaifu.
Je, udhaifu wa bunge uko wapi?
1- Kushindwa kutoa orodha/list ya watu walioficha fedha nje ya nchi sijui uswizi?
2- Kushindwa kutoa orodha/list ya watu waliochota hela za EPA, IPTL, TANGOLD na MEREMETA n.k?
3- Kushindwa kutupa mrejesho wa pesa za kishika uchumba - ACACIA/BARCK?
4- Kushindwa kutupa majina ya watu wasiojulikana waliompiga Mbuge mwenzao risasi?
5- Kushindwa kuisimaia/kuiuliza serikali katika matumizi abayo budget yake haikupitishwa na Bunge?
6- Kushindwa kuiojii serikali zilipo 1.5 trilion alizosema mkaguzi wa mahesabuya serikali?
Orodha ni ndefu, naomba uongeze ya kwako ili tupate majibu stahiki.