Udhaifu wa ACT kitaasisi

Udhaifu wa ACT kitaasisi

Hivi kumbe issue ya kutaja Mali ilikuwa ni kwa Viongozi wote na si Ayatolllah peke yake!!!
 
Hakuna mwnye hati miliki ya siasa za nchi hii.

Zitoo hamkumtaka wachaga katoka na kaanzisha chama chake.

Sasa shida yenu nin wachaga??

Hamna dogo??

Kama ni kukiua hiko chama mmekiua wenyewe.

Tumia akili ndugu yangu.Uchaga unatoka wapi?.Hizi sera za udini na ukabila ziliasisiwa na CCM,sasa wamekabidhi hili jukumu la hizi propaganda kwa tawi lao, ACT.
 
Watu wa sampuli ya The Big Show na Ruttashobolwa ndiyo watetezi wa ACT Wazalendo? Tanzania? eti.

Just look, wanaita CHADEMA eti CHAGADEMA kana kwamba ACT yao haitafika uchagani kwenda kutafuta wanachama!!

Yaani jamaa wanaandika na kusema tu bila hata kufikiria matokeo ya baadae ya kile wanachokitoa kutoka kwenye vinywa vyao!!
 
Back
Top Bottom