Udhaifu wa ACT kitaasisi

Udhaifu wa ACT kitaasisi

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Habari JF: Kwa muda mrefu nimefuatilia uanzishwaji wa ACT na harakati zake kisiasa nikabaini mambo muhimu ambayo yanafanya chama hiki kidogo kuwa dhaifu mapema zaidi lakini pia kukosa fursa ya kukua kitaasisi :

Mosi : Waanzilishi wake hawakuwa na nia wala malengo ya kuanzisha chama cha siasa. Uanzishwaji wake ni matokeo ya usaliti na ukibaraka

Pili : Chama hiki kimepoteza autonomy kama taasisi kwa sababu kimemsubiri mtu afukuzwe then ndio ajiunge, katiba ipitishwe, Uchaguzi ufanyike na mtu huyo akabidhiwa madaraka makubwa zaidi ya chama.

Tatu : Chama hicho kuakisi taswira na haiba yake kuwa kinafadhiliwa na watawala kwa lengo la kupunguza kura za Ukawa.

Nne : Chama hiki kukosa agenda ya pamoja ya kufikisha kwa umma, wakati Mkuu wa Chama anasema Viongozi wa ACT wataje mali zao hakuna hata mmoja anayefikiria kufanya hivyo.

Tano : Kukosa dira ya kizalendo na kijamaa katika kufikisha Ujumbe. Zimesikika kelele tu za Uzalendo lakini hakuna tafsiri rahisi katika hoja zao zinazotumika katika mikutano ambazo zinarutubisha Uzalendo. Kusema tunarudisha Uzalendo ni hoja zisizo na mashiko.

Sita : Ni mamlaka aliyopewa Mkuu wa Chama ambapo kimsingi inaathiri utendaji wa Viongozi wengine. Sio rahisi kueneza itikadi ya taasisi kwa kutegemea mtu mmoja. Mfano mtu huyo akishindwa kufanya kazi na taasisi inakufa.

Mwisho kabisa ni aina ya wanachama wanaotumika katika mitandao ya kijamii wengi wao ni kutoka chama tawala, hata wale wachache wamepotoka na kujikuta wanashindwa kujenga hoja za ushawishi ili kupata ufuasi.
 
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT
 
Na mjamaa Albert Msando hajatangaza mali??. eti wanazindua Azimio la Arusha

Wakati mwingine ni vigumu kuelewa watanzania tunahitaji nini! Jamani nawashangaa wanaoshabikia hiki chama, yaani bila ZZK hakuna chama, ACT ni ZZK na ZZK ndio ACT! Hawa jamaa wanajaribu kupunguza harakati za kupambana na SISIMU tu! Watanzania wenzangu na hasa wapenda mabadiliko ya kweli ikataeni ACT na ZZK wake. Ni matumaini yangu kila mpenda mabadiliko yuko tayari kuchagua viongozi kupitia UKAWA wakati wa uchaguzi mkuu October mwaka huu.
 
Zitto amekuwa kama Mgombea wa Udiwani - Yani hawa ndio waliohudhuria kusikiliza ACT. Ujumbe wa Usaliti umefika Iringa
 
Attachments

  • 1428842835567.jpg
    1428842835567.jpg
    31.6 KB · Views: 379
Wakati mwingine ni vigumu kuelewa watanzania tunahitaji nini! Jamani nawashangaa wanaoshabikia hiki chama, yaani bila ZZK hakuna chama, ACT ni ZZK na ZZK ndio ACT! Hawa jamaa wanajaribu kupunguza harakati za kupambana na SISIMU tu! Watanzania wenzangu na hasa wapenda mabadiliko ya kweli ikataeni ACT na ZZK wake. Ni matumaini yangu kila mpenda mabadiliko yuko tayari kuchagua viongozi kupitia UKAWA wakati wa uchaguzi mkuu October mwaka huu.

Mimi nakesha na kuomba Kwa ajili ya ukawa mungu yupo atatusaidia. Umeandika Kwa kumia, kweli hata Mimi nakuunga mkono.
 
Chadema mgomvi wenu ni act au ccm??

Teh teh teh

Kweli chaagadema kimekufa.

Badala ya kupigana na ccm mnahangaika na wapinzan wenzenu??

Ukabila umekiua hiko chama msitafute mchawii.
 
Wakati mwingine ni vigumu kuelewa watanzania tunahitaji nini! Jamani nawashangaa wanaoshabikia hiki chama, yaani bila ZZK hakuna chama, ACT ni ZZK na ZZK ndio ACT! Hawa jamaa wanajaribu kupunguza harakati za kupambana na SISIMU tu! Watanzania wenzangu na hasa wapenda mabadiliko ya kweli ikataeni ACT na ZZK wake. Ni matumaini yangu kila mpenda mabadiliko yuko tayari kuchagua viongozi kupitia UKAWA wakati wa uchaguzi mkuu October mwaka huu.

Hakuna mwnye hati miliki ya siasa za nchi hii.

Zitoo hamkumtaka wachaga katoka na kaanzisha chama chake.

Sasa shida yenu nin wachaga??

Hamna dogo??

Kama ni kukiua hiko chama mmekiua wenyewe.
 
Hii thread haina uhai mrefu, mods wa sasa hawasomei, wakiona jina act likisemwa au kukosolewa wataunganisha thread au kufuta kabisa.
 
ACT inakuzwa na chadema kwa kasi ...mwaka huu lazima mrudi kwa mababu zenu uchaggani
 
Hakuna mwnye hati miliki ya siasa za nchi hii.

Zitoo hamkumtaka wachaga katoka na kaanzisha chama chake.

Sasa shida yenu nin wachaga??

Hamna dogo??

Kama ni kukiua hiko chama mmekiua wenyewe.

Wejaa Kila siku ni Udini na Ukabila, haunaga jipya, Hivi kwa Wachaga wote ni wana siasa?....Kilimanjaro wanakotoka Wachaga kuna wabunge wengi tu wa CCM,

Pia kuna wachaga Wengi Waislamu hasa anako toka Mbowe.

Sasa chuki ni za nn? Wachaga wame kukosea nn? ....

Kama chadema wamekukera basi waseme chadema, Wachaga sio chama cha siasa.

kuna wachaga wanao ipenda NSSR, TLP, CUF, CCM, CHADEMA na kuna ambao wapendi wala hawajihusishi na Siasa.
 
Hakuna mwnye hati miliki ya siasa za nchi hii.

Zitoo hamkumtaka wachaga katoka na kaanzisha chama chake.

Sasa shida yenu nin wachaga??

Hamna dogo??

Kama ni kukiua hiko chama mmekiua wenyewe.

wewe huwezi linganisha CDM na hilo genge la udini na ukigoma wenu.CDM imeenea mpaka vijijini mmebaki kupiga lamri ooh CDM imekufa,wapuuzi watupu ndo maana mmezurumiana mgao wa sikukuu aliyowaletea ZZK kwenye kijiwe chenu cha virusi vya usali mwanga.
 
Chadema mgomvi wenu ni act au ccm??

Teh teh teh

Kweli chaagadema kimekufa.

Badala ya kupigana na ccm mnahangaika na wapinzan wenzenu??

Ukabila umekiua hiko chama msitafute mchawii.

ACT ni tawi la CCM, ndio maana hoja zao zinafanana, Udini, Ukabila, Ukanda. ACT sio wapinzani ni CCM. Tutahakikisha inakufa kama CCM
 
Chadema mgomvi wenu ni act au ccm??

Teh teh teh

Kweli chaagadema kimekufa.

Badala ya kupigana na ccm mnahangaika na wapinzan wenzenu??

Ukabila umekiua hiko chama msitafute mchawii.

Utakufa wewe na kuiacha CHADEMA
 
Back
Top Bottom