Udhaifu katika uongozi


N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Katika management principles,ukikuta kiongozi analalamika tatizo fulani na wananchi wanalalamika tatizo hilo hilo,tambua kuwa huyo ni kiongozi kipofu!
Na kiongozi yeyote lazima awe na vision,ushawishi(influence) na destiny.Lakini tumeshuhudia viongozi wetu wakitoa majibu marahisi kwenye mambo nyeti na magumu kwa mustakabali wa taifa letu,hii ni dhahiri kuwa viongozi wanaingia madarakani hawana vision.
Tumeshuhudia Geita juu ya nani achinje,lakini viongozi ndio wamekuwa watu wa kulalamika na kutoa majibu yaliyo mepesi.
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000