Udereva Serikalini unalipa au una faida?

Binafsi mimi ni dereva ingawa title yangu job sio driver.
Out of salary ninapata karibu million moja kila mwezi kwaajili ya visafari vya Dodoma -Dar na kwingineko.
Kuhusu salary: Dereva wa serikali anaanza na TGS B kwa sasa. Ila kuna taasisi unalipwa kwa scale nzuri kiasi kwamba Engineer wa TGS E hakupati.
Minimum unafanya safari mara ngapi kwa mwezi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mimi ni dereva ingawa title yangu job sio driver.
Out of salary ninapata karibu million moja kila mwezi kwaajili ya visafari vya Dodoma -Dar na kwingineko.
Kuhusu salary: Dereva wa serikali anaanza na TGS B kwa sasa. Ila kuna taasisi unalipwa kwa scale nzuri kiasi kwamba Engineer wa TGS E hakupati.
Mkuu hivi hizi scale nikitaka kufahamu ufafanuzi wake naweza kupata wapi mkuu.
Mfano hyo scale ya engineer??
 
Binafsi mimi ni dereva ingawa title yangu job sio driver.
Out of salary ninapata karibu million moja kila mwezi kwaajili ya visafari vya Dodoma -Dar na kwingineko.
Kuhusu salary: Dereva wa serikali anaanza na TGS B kwa sasa. Ila kuna taasisi unalipwa kwa scale nzuri kiasi kwamba Engineer wa TGS E hakupati.
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako umenipamoyo
 
Back
Top Bottom