and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,119
Wale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu.
**Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu mpaka abembeleze
Aisee hii Inanikumbusha mbali sana enzi za KIKWETE. Walikuwa wanagoma sanaWale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu.
**Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu mpaka abembeleze
Wakati hapakuwa na ulazimaKampeni imetumia pesa nyingi sana.....wapunguze mishahara ya wabunge iwe laki 8.......
Waliambiwa acheni kampeni za kiini macho. Kampeni huna mpinzani. Magufuli aliacha upinzani wafanye kampeni akawaibia kwenye box. Huyu aliwaweka jela sijui aliwaza niniKampeni imetumia pesa nyingi sana.....wapunguze mishahara ya wabunge iwe laki 8.......
Ni mjinga pekee unakubali kuwa mwalimu halafu baba levo anakuwa mbunge.Wale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu.
**Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu mpaka abembeleze
Aisee hii Inanikumbusha mbali sana enzi za KIKWETE. Walikuwa wanagoma sana
Wale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu. **Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu mpaka abembeleze
Aiseeeeeee
Mikwara mbuziWale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu.
**Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu mpaka abembeleze
Ndiye Mkuu wao wa Chuo!sana