UDANGANYIFU waigubika Law School...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wanafunzi wa Kohoti ya kumi ya Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo maarufu kama Law School wapo kwenye mitihani ya Written Practical Exercises(WPE).Wanamaliza mitihani hiyo leo.Hadi sasa,wanafunzi wapatao wanne wamekamatwa wakiwa na vitu visivyoruhusiwa katika chumba cha mtihani.Mmoja wa wanafunzi waliokamatwa anatajwa kuwa ni mfanyakazi wa Taasisi hiyo aliye masomoni kwa sasa Taasisini hapo.Law School ifanye nini juu ya hili?
 
Back
Top Bottom