UDAKU PLUS PLUS: MLIMA KILIMANJARO kuhamishiwa DAR!!!!

UDAKU PLUS PLUS: MLIMA KILIMANJARO kuhamishiwa DAR!!!!

Hahahahahahah
Aisee nisamehe kumbe si kukuaga! Oooh yan,yan inaelekea ulikuwa busy kwenye sebene!
We hatari sana!




thitakiiii...........hukuniaga....! uliondoka na nani siku ilee???? ulienda gesti gani?
 
Mleta mada si bure unweza kuta unaongelea masasi ushapulizwa bomu la machoz au
umesahau kuwa
Gogo halisukumwi kwa mkojo!!
 
Heheheh!!! ngoja nianze kwa cheko kwanza maana hii nyeti nimetoka kuisikia hapa kwenye korido za Wizara ya Maliasili na Utalii...
Eti lile jilima refu kuliko urefu wenyewe linalopatikana kwa WASEE WA KISUSIO na MBEGE, liitwalo KILIMA KYARO kuhamishiwa DAR ES SALAAM.
KISA na MKASA ni baada ya sirikali kushindwa kuiteta gesi ya N'TWARA hapa jijini baada ya wananchi wa huko kina NJOMBA NSUMARI kugeuga mbogo!!!
ETI wajameni hili JILIMA nasikia litakuja kuwekwa hapo KIGAMBONINO!!! ndio maana sirikali inahangaika kujenga daraja ili iwe rahisi kulipitisha kwa njia ya barabara ili wananchi wote walishuhudie!!!

cc: Baba V, TANMO, Bishanga.....

kwan saa hz ni saa ngap mpwa?
 
Back
Top Bottom