UDAKU PLUS PLUS: MLIMA KILIMANJARO kuhamishiwa DAR!!!!

UDAKU PLUS PLUS: MLIMA KILIMANJARO kuhamishiwa DAR!!!!

hehehe..basi nadhani sirikali ya chichiemu itakuwa na imani kama hiyo...we ngoja tukilala tukiamka hapa DAR joto litabaki kuwa historia!!!

Kumbe udaku woteee huo chanzo chake joto, mnipe tenda ya kusambaza kipupwe kwa bei cheeee
 
hahahah unajua umenifurahisha sana...injili popote kaka hadi JF!!!

dah... Sasa huyu mdada mi nampiga voko ananiambia ili anikubali basi nikubali kuwa mchumba wa yesu... Opps Yesu... Sasa si uchokozi wa reja reja huu
 
Kipendacho roho hula nyama mbichi...mwaga mistari yenye vina huku ukikubali matakwa yake pia!!!

dah... Sasa huyu mdada mi nampiga voko ananiambia ili anikubali basi nikubali kuwa mchumba wa yesu... Opps Yesu... Sasa si uchokozi wa reja reja huu
 
kupunguza JOTO ni sababu mojawapo...ila sababu nyingine ni kuhakikisha kila kitu kinapatikana DAR, wanaanza na MLIMA halafu baadae watahamia kwenye MBUGA

Kumbe udaku woteee huo chanzo chake joto, mnipe tenda ya kusambaza kipupwe kwa bei cheeee
 
Back
Top Bottom