Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na bodi ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo
i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na tedo. Mwenyewe adai anapima wallet, , Baba V ang'aka juu ya tabia hiyo.
ii. Erickb52 aenguliwa kwenye kamati ya screening, ndoa za watu zatajwa kuwa chanzo, mwenyewe alonga, amtupia lawama Mamndenyi kwa majungu
iii. Baba V avunja ndoa ya manoah na cielo, kutofuata taratibu kwawaponza
iv. Asprin hoi baada ya kumkagua lara 1 , asimulia alichokiona, aomba aongezewe vifaa na wasaidizi
v Arushaone amkimbia Mamndenyi, ni baada ya kumuona live, ajutia kupenda kwa kusoma comments.
vi Erotica apata watoto mapacha, yasemekana kila mmoja ana baba yake HYGEIA amkubali mmoja, utaratibu wa kupima DNA ili kumtambua baba wa mtoto mwingine waandaliwa
vii. baada ya kuingia kichwa kichwa kwa mtoto wa Kinyarwanda Theo pistol, Bishanga apukutishwa kila kitu, akosa nauli ya kurudia bongo. Nicas Mtei amnusuru, ashukuru uwepo wa huduma ya M-pesa,
viii Ruhazwe JR akumbwa na kashfa, ni kuhusu ushindi wa cielo, rushwa ya ngono yatajwa. figganigga ahusishwa
ix zubedayo_mchuzi atoa kali ya mwaka, ni baada ya kauli yake kuwa kaona watu kwenye gari wakiwa na vichwa vya ng'ombe. bangi na jua kali vyahusishwa. mwenyewewe asisitiza yuko timamu. Katavi atoa ufafanuzi
v. Ruhazwe JR katika kashfa tena 2013. Ni kuhusu zawadi za mshindi wa miss chit chat wa mwaka 2012. Adaiwa kutokomea na zawadi za washindi. Madame B na charminglady wamsaka siku nzima, waonekana mtaa wa samora wakiwa wamevaa gloves za boxing, ulinzi shirikishi waimarishwa .
Linafuata toleo jingine.... .

Last edited by a moderator: