UDAKU :2013 Reloaded!!

Yeeah! I'm willing and able mkuu Baba V. Wewe tu na madaktari wako. Ukikuta niko NEGATIVE unalipa fidia ya kunidhalalisha na wake zangu wa TANGA.

Nina uhakika utakuwa positive plus plus wewe, kwa mtindo huo
 
Last edited by a moderator:
Jfudaku mtambo wa kurekebisha tabia,hare up tumalize hii kazi kamanda TANMO.
 
Last edited by a moderator:
......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.

ina maana unataka kumshikisha ukuta au????
 
Hapo ndo penyewe, anasiane yeye hadi panya wake wote pia
Baba V tafadhali banaaa! Hata panya wanasiane itakuwa balaa, by the way kunasiana sio uchawi.... Ka-google vaginal headlock AMA penis captivus hiyo inaelezeka kitaalamu.... Ha ha haaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…