Majibu mbona hayapo hapaJamani napenda kuuliza hivi majibu ya maombi kwa waliomba awamu ya pili ambayo tangazo lilisema yataanza kutoka kuanzia tarehe 20/6/2022, tiari kwenye account za wengine maana yangu kila nikiingia inaniandika hivi, na tatizo ni nini?
View attachment 2267474View attachment 2267477