Udahili wa Vyuo kwa mwaka 2020/2021

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
2,113
4,714
Wanajamvi habarini za asubuhi,

Naomba niende kwenye maada moja moja kwa udahiri umefunguliwa kuanzia tarehe 15 /01/2020 kwa baadhi ya vyuo kwa ngazi ya cheti/Diploma kwa baadhi ya vyuo

Udahili unahusisha baadhi tu ya vyuo vya serikali hamna na utafungwa tarehe 20/02/2020

Na kufunguliwa tena udahili mwingine. Kwa mwenye uzoefu udahili wa chuo cha ADEM HUWA UNAANZA MWEZI WA NGAPI?

sent from toyota Allex
 
ADEM ndio chuo gani?
Agency for the Development of Educational Management (ADEM)
logo.jpeg


sent from toyota Allex
 
Udahili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 nadhani hadi mwezi wa June.. Huu wa intake hii ya March unafahamika kama wa 2019/2020
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom